Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dodoma, Tanzania MHE. TUNDU LISSU AKITOA SALAMU KWA WAKULIMA IKIWA NI MAADHIMISHO YA SIKU YA NANE NANE Leo ni NaneNane sikukuu ya wakulima, tufikirie hali ya mkulima popote katika nchi hii...
14 Reactions
20 Replies
3K Views
Cecilia Mwanga, Mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia Makini amechukua fomu za uteuzi wa kugombea nafasi hiyo leo Agosti 8, 2020 katika ofisi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)...
2 Reactions
18 Replies
46K Views
Wasalaam, Kheri ya sikukuu ya nanenane kwa wapambanaji wote, Kama mjuavyo, leo Tundu Lisu anatimiza siku 13 tangu aingie nchini Tanzania akitokea nchi ya Ubeligiji, pia Ni sikukuu ya nanenane na...
29 Reactions
50 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa PolePole taarifa aliyoitoa juzi inaonesha kuwa Uchaguzi wa Mwaka huuu CCM inaenda kufanya kampeni kubwa ambazo hazijawahi kushuhudiwa tangu nchi hii ipate uhuru. Swali langu...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Wajinga ni watu wazuri mara mia zaidi, kuliko mtu mpumbavu. Kwanini mjinga... Mjinga ni mzito katika kuelewa na kujifunza jambo. Lakini ukifanya juhudi kidogo za kumuelimisha atakuelewa na kwa...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Ilani 2020: ACT-Wazalendo Kujenga Utajiri wa Jamii kupitia Ushirika wa kisasa (Community Wealth Building). Kuongezeka kwa tofauti za kipato huku matajiri wakizidi kunufaika na mifumo ya kiuchumi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jumla ya vyama vyenye usajili wa kudumu nchini ni 19 vinatarajiwa kuchuana kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ambapo nafasi mbalimbali za uogozi kitaifa zitakuwa zinawaniwa na makada wa vyama...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Huo ni mtazamo wangu. Watanzania wa leo wana uwezo wa kuchanganua mambo yanayotoka kwenye vinywa vya wanasiasa wakilinganisha na data/ takwimu halisi. Kama CCM inafikiria kumuhofia mtu basi mtu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Siasa za Lissu za sasa ni zile zilizopitwa na wakati ambazo akina Maalim Seif walizitumia sana kule Zanzibar zilikuwa zikiitwa siasa za ngangari Hadi kieleweke. Hadi wakaagiza visu na kufanya...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Nilikua nafuatilia hotuba ya Mwenyekiti wa CCM Taifa. Kuna maneno yamenifikirisha jambo. Walijua wameiua Chadema, tuliambiwa humu mitandaoni kuwa Magufuli kaua Upinzani. Mara ooh, Chadema...
43 Reactions
97 Replies
8K Views
*WATANZANIA NI WAELEWA SANA, 2020 TUNACHAGUA MAENDELEO* Na Emmanuel J. Shilatu Uchaguzi Mkuu 2020 unazidi kukolea na kupamba moto ambapo kila chama, kila mgombea anajinadi kivyake kwa sera zake...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Hali ndio kama mnavyoona ndugu zangu Sina cha kuongeza , wale mnaotaka nyama zaidi endeleeni kula mtori , nyama mtazikuta chini
55 Reactions
148 Replies
15K Views
Kwa Mara nyingi kwa miaka mingi CCM wamekua wakipiga propaganda mfu juu ya VIONGOZi na wagombea wa CHADEMA kuwa ni wa kutoka Kaskazini. Sasa faida kubwa aliyonayo Tundu Lissu na CHADEMA ni sehemu...
17 Reactions
60 Replies
5K Views
Kosa moja ambalo Lissu anafanya hivi sasa ni kuaccumulate makosa mengi ya kisiasa ambayo CCM wanaweza kuyatumia dhidi yake. Tangu arudi nchini Lissu ameshafanya makosa kadha wa kadha ambayo...
80 Reactions
150 Replies
11K Views
Kuna habari kuwa utaandaliwa mdahalo kabambe kuwakutanisha wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ingawa mpaka sasa hajajulikana nani atakuwa muandazi lakini tunategemea kumfahamu...
6 Reactions
44 Replies
5K Views
1: JPM anamengi yakuonekana aliyofanya kwa wananchi Lissu hata jimbo lake tu hakuna chochote cha kuonyesha. 2: Kila vita anayoingia JPM anapata ushindi au nusu ushindi (MAKINIKIA) wa kugusika...
15 Reactions
83 Replies
7K Views
Najua pengine ukali wa speech zako kwa namna Fulani unachangiwa na madhila uliyopitia ambayo Mungu wa Rehema alikuepusha. Labda tu kukushauri unapoanza safari ndefu ya kampeni katika kuwaomba...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Inavyooneka watu kwenda barabarani ni jambo linalotishia na na kuogepesha sana hasa kuhusu utulivu na amani ya nchi ... watu kwenda barabarani ni kwenda kutafuta haki yao kwa namna moja au...
26 Reactions
36 Replies
2K Views
#Uchaguzi2020 Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Muttamwega Mgaywa na mgombea mwenza Satia Musa, walipowasili hii leo Agosti 7, 2020, kwenye ofisi za NEC wakiwa peku...
3 Reactions
37 Replies
7K Views
Ndugu wa JF, Rais wetu na viongozi wakuu wa kitaifa wamekuwa wakijipambanua kupambana na rushwa na Mkuu wetu amekuwa akitumbua watumishi wa umma na wakandarasi huku na kule Je, wajumbe wametupa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom