Inavyooneka watu kwenda barabarani ni jambo linalotishia na na kuogepesha sana hasa kuhusu utulivu na amani ya nchi ...
watu kwenda barabarani ni kwenda kutafuta haki yao kwa namna moja au nyingine.
Ili kutoa haki:
Nawashauri tume ya uchaguzi - NEC wahesabu Kura pale pale zilipopigiwa na wapiga kura wapewe matokeo yao hapo hapo baada ya upigaji kura.
Utaratibu huu ni mzuri na ni utaratibu ulifanyiwa majaribio na vyama vikubwa viwili -CCM pia CDM na unaonekana unafaa...mambo ya uwazi na ukweli kumuenxi Mzee Mkapa.
Hakuna sababu ya kubeba mabox kwenda sehemu sijui wapi kuhesabu tena...au kuhakiki..uhesabuji na uhakiki ufanyike vituoni;
NEC wapelekewe tu jumla ya matokea vituoni kwa njia ya mtandano/ internet ambayo itakakuwa live kama kule Kenya walivyofanya na ndio tutajua mshindi ni nani bila manung'uniko au wala hizi mambo ya kuwaingiza watu barabarani...
Mwisho
kama kila kituo ni wapiga kura 500, haitawachukua hata masaa mawili kuhesabu hizo kura na kuhakiki kabla ya kutangaza hapo hapo ni nani mshindi wa kituo.
Ni hayo tu kwa leo, Nguchiro, mchwa na sisimizi wanaishi nyumba moja bila mkwaruzo, iweje sisi watanzania tushindwe?