Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

No Reforms, No Election Nimeangalia video inayomuonesha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, akitoa maneno makali dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Mlimba na mwanachama wa CHADEMA, Suzan...
4 Reactions
38 Replies
1K Views
Wasalam! I declare! PATRIOTISM FORWARD PIA SIASA NI DINI MPYA. Ni wazi sasa technolojia ina nguvu kubwa kwenye maisha yetu, technolojia ina nafasi kubwa kwenye utendaji wa kazi zetu za kila...
0 Reactions
0 Replies
269 Views
“…sasa leo kinachotokea kwa watu wa chama changu Chadema wanasema no reform no election mnajua imetoka wapi kwenye ile 4R ya mheshimiwa Rais ya tatu…hivi kwa watu kusema wanataka reform ni kosa...
15 Reactions
24 Replies
2K Views
Haya ndio matunda ya ubinafsishaji kama yalivyoelezwa na Director wa TPA. Bandari ya Dar es Salaam Yabadilika: Kutoka Kero hadi Kituo Bora cha Biashara Afrika Mashariki na Kati Hapo awali...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Zamani CCM ilikuwa inatumia watu wa vijijini wasio na elimu na uwezo wa kuhoji wala kujaji chochote, walikuwa wakiaminisha watu kuwa bila wao CCM basi Tanzania haitakuwa na Amani, Na ninashangaa...
6 Reactions
8 Replies
565 Views
Natoa wito Kwa Serikali yetu itoe Tamko Zito kulaani matumizi ya Nguvu kupita kiasi Kwa Utawala wa Trump kulinda haki za Waandamanaji wanaopinga sera zake jimboni California badala ya kutuma...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Nimefuatilia kwa ukaribu sana mawaidha ya Eid kutoka kwa viongozi mbalimbali nchini. Hali imeshakuwa mbaya sana na pengine bila juhudi za makusudi kufanyika (ambazo sizioni) huko mbele...
18 Reactions
101 Replies
4K Views
"Katika Miaka minne ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, amefanya mambo makubwa na mazuri,..maji yanamwagikama.Mvua,.. amefanya kila Mtanzania aishi kwa furaha mustarehe" - Alex Msama...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kilwa Kusini Mhe. Selemani Bungara (Bwege) akielezea maisha yake akiwa Bungeni na nje ya Bunge na hata kwenye kipindi hiki akiwa mpinzani.
2 Reactions
4 Replies
515 Views
Wale wote waliojiunga CHAUMMA nafikiri sasa wanajilaumu sana kwa uamuzi wao wa kukurupuka. Mbowe umetumia akili nzuri sana kutest zari kwanza nafikiri umeona jinsi ambavyo ungeaibika kama...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Rais Samia akishiriki Sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Juni 9, 2025 ===================================== Akimkaribisha Rais Samia Suluhu Hassan aliyekuwa mgeni...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
https://youtu.be/WKvWtoKpLJs?si=ZqVSuExXQMtxQOv2 √ Huyu ni mmoja wa maaskofu walio chini ya Askofu mkuu wa kanisa la Jumba la Ufufuo na Uzima chini ya usajili wa Glory Christ Tanzania Church...
0 Reactions
2 Replies
739 Views
Tunatoa wito kwa Viongozi wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Chadema kuongeza Camera angalau 5 za Drone ili kuweza kurekodi Mchanga wa Watu wanaohudhuria Mikutano yao. Kwa Mfano, ni Vigumu...
22 Reactions
42 Replies
2K Views
NO REFORM, NO ELECTION: SAUTI YA WALIOSAHAULIKA TANZANIA Na Kamgisha Abeid: Wakati taifa linaelekea kwenye uchaguzi mkuu mwingine, sauti ya wanyonge inazidi kufunikwa na makelele ya wanasiasa...
5 Reactions
10 Replies
719 Views
Tanzania inapita katika kipindi kigumu cha uchaguzi kuliko vipindi vyote toka kuingia mfumo wa vyama vingi 1992, takribani miaka 35 iliyopita. Na kama ilivyotambulishwa na katiba ya Jamhuri ya...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Devotha Minja amedai kuwa Mbunge wa Morogoro Mjini Ablulaziz Abood ni chanzo cha kuua viwanda vya Morogoro. Minja ametoa kauli...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa ridhaa yangu bila kulipwa chochote. Najitolea kuzunguka nchi nzima kumtafutia wadhamini Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM pindi Tu Tume Huru ya Uchaguzi watapotoa Fomu stahiki...
0 Reactions
17 Replies
786 Views
Wakuu CHAUMMA ni chama cha upinzani ambacho viongozi wake wengi wa sasa ni wale walioamua kuyasaliti mapambano kupitia CHADEMA. Ni kama usaliti wao umekuwa jumlajumla kiasi cha kutwa kuijadili na...
4 Reactions
8 Replies
633 Views
Wakuu, Ile kesi ya watakaji waliofikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza inaendelea leo na kesho yaani June 9 na 10, 2025 katika Mahakama ya Kinondoni. Ngoja tuone nini kitaendelea leo na kama...
0 Reactions
6 Replies
569 Views
Askofu Dickson Kabigumila, akihubiri kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini, amesema kuwa ameonyeshwa na Mungu kuwa kundi linalojulikana kama 'wasiojulikana' litafikia mwisho wake ifikapo mwezi...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom