Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sikuile kipindi Biden yupo madarakani jeshi la Polisi lilifanya ukandamizaji mkubwa wa kibadamu na kuwapiga watu wasio na hatia ikiwemo wakina Mbowe, Balozi za Marekani walikemea kitendo hicho na...
0 Reactions
1 Replies
336 Views
Kwanza Tunaomba Radhi kwa kuchelewa kuwaletea Taarifa hizi muhimu kwa mstakabhali wa Taifa. Hatukuwa na Mawasiliano mazuri kutokana na mvua kubwa zinazoendelea Lakini Wazungu wanasema hivi...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya Ndg.Patrick Mwalunenge ameweka wazi msimamo wake kuelekea Uchaguzi Mkuu kila mtu anayetaka kugombea ndani chama hicho kuacha vitendo vya ukatili...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa? Mkazo na dhamira zao haziendani...
9 Reactions
76 Replies
3K Views
Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Shaaban Ali Othman kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Taufiq Turky pamoja na Madiwani wametoa sadaka ya sikukuu kwa wazee, watu wenye ulemavu...
0 Reactions
1 Replies
268 Views
Katibu Mwenezi wa NCCR Mageuzi, Elisante Ngoma ametangaza kuhamia Chama cha ACT- Wazalendo huku akitaja sababu ni chama chake kupoteza dira katika kupambana na chama tawala, Chama cha Mapinduzi...
1 Reactions
2 Replies
337 Views
Kama angeyaeleza hayo bungeni, asingefanikiwa. Lazima angefanyiwa mizengwe na wabunge wenzake kwa kumpiga taarifa, n.k. Kama angesema akayaibue chamani, ukinzani ambao angekutana nao humo...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi, Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni...
8 Reactions
156 Replies
5K Views
https://www.youtube.com/watch?v=YEjvE7ZuX34 Wakenya wamejitokeza kwa wingi mitaani muda huu kuandamana kwa amani wakilaani mauaji ya Albert Ojwang, kijana aliyepoteza maisha mikononi mwa Polisi...
2 Reactions
6 Replies
532 Views
Wakuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema manung'uniko yalikuwepo kuhusu Jeshi la polisi kwa sasa yamepungua sana. Rais Samia...
0 Reactions
7 Replies
771 Views
Katika kipindi hiki muhimu kwa mustakabali wa taifa letu, sauti ya wananchi inazidi kuwa wazi na isiyoweza kupuuzwa: “No Reforms, No Election”. Hii si kauli ya jazba bali ni ujumbe wa kizalendo...
12 Reactions
20 Replies
1K Views
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonaz ameipongeza Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa kukamilisha zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na...
1 Reactions
5 Replies
655 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa amemshukuru Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk Tulia Ackson kwa kuwa Bunge lake limesimama na Serikali dhidi ya watu kutoka nje ya nchi...
0 Reactions
0 Replies
320 Views
Aiseeeee hadi raha kuona huko mtandaoni na mtaani hali inavyofurahisha. Kilichonifurahisha zaidi ni Gen Z kuamka, wameacha kupuuzia siasa, wameacha kupuuzia masuala ya utekaji na watu kupotea...
12 Reactions
39 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita, Batholomeo Manunga, ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Uchukuzi kurejesha safari za ndege katika uwanja wa ndege wa Chato ambazo...
0 Reactions
7 Replies
462 Views
Hii ndio Taarifa iliyotolewa baada ya Michango ya Tone Tone kuhesabiwa. Jumla ya Hela za kitanzania Mil 2.7 zimekusanywa kutoka kwa wananchi walooamua kusukuma mbele gurudumu la Chadema ili...
23 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakuu salama? Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
8 Reactions
173 Replies
20K Views
Jiji la Dodoma leo limenishangaza hakika. Sijawahi ona watu wanaoipenda Chadema kama watu wa Dodoma. Mwanzo nilidhani Mwanza na Kanda ya Ziwa, Kuna wakati nilidhani Kanda ya Nyasa na Kanda ya...
44 Reactions
69 Replies
4K Views
Askofu katoliki wa jimbo la Mwanza akiwa kwenye mazishi ya mme wa Mama Getrude Mongella amesimulia jinsi Taifa linapitia kwenye wakati mgumu sana hasa hawa watu wanaoitwa wasiojulikana Akitoa...
25 Reactions
52 Replies
5K Views
Nimemsikia Heche akisema Chadema ilimpa Ubunge wa Viti Maalum Susan Kiwanga, anaongeza walimpa ubunge wa viti maalum huku akiwa hana elimu na alikuwa akifanya kazi za ndani So huo ubunge wa...
0 Reactions
5 Replies
417 Views
Back
Top Bottom