PreGE2025 Devotha Minja: Chama kile (CHADEMA) hakithamini Wanawake, viongozi wote wa juu wanaume

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,714

Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Devotha Minja, amesema wanawake wengi nchini wanaishi maisha ya huzuni kutokana na mikopo inayowadhoofisha kiuchumi na kihisia.

Akizungumza mbele ya wakazi wa Kigoma Mjini katika mwendelezo wa mikutano ya hadhara ya chama hicho, Minja ameeleza kuwa endapo CHAUMMA kitaingia madarakani, kitaweka mikakati ya kuwawezesha wanawake kujishughulisha na shughuli za kiuchumi zisizowaumiza.

“Wanawake wengi hawana furaha kwa sababu ya mikopo ya kausha damu. Wanalazimika kuchukua mikopo hiyo ili kuendesha maisha ya familia zao, lakini mwisho wa siku inawaumiza,

Nataka CHAUMMA ikiingia madarakani, iwasaidie wanawake kuwa na furaha kwa kufanya shughuli ambazo hazitawaumiza,” amesema Devotha
 
Screenshot_20250609-201018.jpg

Screenshot_20250609-200735.jpg
 
Yani wewe mwanamke kugombea hutaki unataka upendeleo hiyo akili kweli halafu baadae useme unabaguliwa? Akili mnembe hizo yeye mbona aligombea kanda na akashinda hakusema mfumo dume?

No reform No Election
 
Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Devotha Minja, amesema wanawake wengi nchini wanaishi maisha ya huzuni kutokana na mikopo inayowadhoofisha kiuchumi na kihisia.

Akizungumza mbele ya wakazi wa Kigoma Mjini katika mwendelezo wa mikutano ya hadhara ya chama hicho, Minja ameeleza kuwa endapo CHAUMMA kitaingia madarakani, kitaweka mikakati ya kuwawezesha wanawake kujishughulisha na shughuli za kiuchumi zisizowaumiza.

“Wanawake wengi hawana furaha kwa sababu ya mikopo ya kausha damu. Wanalazimika kuchukua mikopo hiyo ili kuendesha maisha ya familia zao, lakini mwisho wa siku inawaumiza,

Nataka CHAUMMA ikiingia madarakani, iwasaidie wanawake kuwa na furaha kwa kufanya shughuli ambazo hazitawaumiza,” amesema Devotha
Akumbuke Rais ni mwanamke.Huzuni hizo zimesababishwa na mwanamke mwenzao
 
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Devotha Minja, amesema wanawake wengi nchini wanaishi maisha ya huzuni kutokana na mikopo inayowadhoofisha kiuchumi na kihisia.

Akizungumza mbele ya wakazi wa Kigoma Mjini katika mwendelezo wa mikutano ya hadhara ya chama hicho, Minja ameeleza kuwa endapo CHAUMMA kitaingia madarakani, kitaweka mikakati ya kuwawezesha wanawake kujishughulisha na shughuli za kiuchumi zisizowaumiza.

“Wanawake wengi hawana furaha kwa sababu ya mikopo ya kausha damu. Wanalazimika kuchukua mikopo hiyo ili kuendesha maisha ya familia zao, lakini mwisho wa siku inawaumiza,

Nataka CHAUMMA ikiingia madarakani, iwasaidie wanawake kuwa na furaha kwa kufanya shughuli ambazo hazitawaumiza,” amesema Devotha
Una hoja siyo matusi na fujo
 
Wanawake na mikopo dam dam

Back
Top Bottom