Umeambiwa hadharani kuwa wewe hufai kuwa Mbunge wa jimbo. Hii ni wazi kuwa chama chako hakitakupitisha kugombea.
Wewe kusema kuwa Kisesa inahitaji madaraja na huduma za kijamii kuboreshwa...
Usiandike kingeni chochote zaidi ya namba moja au mbili kadri ya mtazamo wako, kama huwezi kuandika namba, basi andika maneno yaliyopo aidha kwenye namba moja au mbili.
Usiandike namba zote kwa...
Baada ya Tundu Lissu kuiambia Mahakama kuanzia leo atajitetea mwenyewe kwasababu Mawakili wake wamekuwa hawatendewi haki na hataki ije ionekane walishindwa kumtetea, Mahakama imekubali ombi hilo...
Mbunge wa Makete, Festo Sanga ambaye amejinasibu kuwa tarejea Bungeni katika Bunge lijalo, amesifia uamuzi wa Serikali kusaini mikataba ambayo itawezesha Serikali kupata madini mengi ya dhahabu...
Mwanzo Hadi Mwisho wa Hotuba ya MPINA, Wananchi walionekana kufurahia Hoja na kwakuonyesha Hisia Kwa Hoja Makini za Mbunge wao, wananchi wamepiga Makofii, vifijo na nderemo.
Alipoingia Rais...
Mama hajui kitu, kakuta wananja ambao wanamtumia vizuri kutokana na kutojua kitu kwake. Kafulila kampa tu namba uchumi unakua hajaweza mfafanulia mlinganyo wake kimahesabu na uwezekezaji na Ulaya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijaridhishwa na uamuzi uliotolewa na Jaji Hamidu Mwanga wa Mahakama Kuu wa kusitisha shughuli za chama hicho, kikisema kitaomba mapitio ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Msishangae Kwanini Luhaga Mpina Amekuwa akitoa taarifa za uzushi,uongo na uchonganishi mara kwa mara. Nyote ni mashahidi wa namna ambavyo amekuwa akitoa taarifa kuonyesha...
Leo Lissu alisimama mahakamani kuanza kujitetea, na tukio hilo lilikuwa likirushwa live kupitia mitandao.
Mbali ya watu kufuatilia kile kilichokuwa kikisemwa na Lissu pia wengine tulikuwa busy...
Uchawa unaliangamiza Taifa hakuna kusema ukweli , hakuna Uzalendo tena .
Umaskini,Tamaa ,Uvivu na kupenda madaraka umefanya kuisahau Tanzania , palipo na pesa hakuna haki , hakuna kukemea ubaya...
Jeshi la Polisi limezuia kufanyika Mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche na waandishi wa habari ulokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025 katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo...
Mbunge wa Jimbo la Makambako mkoani Njombe, Deo Sanga, ametoa wito kwa mamlaka husika kuwachukulia hatua wote wanaoeneza ujumbe wa uchochezi unaoweza kuhatarisha amani ya nchi, ikiwemo kuchora...
Wakuu!
CCM wanatafuta nyomi la kutengeneza huko,
==
Halmashauri ya Manispaa ya Geita imeandika barua kwa Wakuu wa Shule Binafsi, Msingi na Sekondari katika Manispaa hiyo, ikiomba magari kwa...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, akihutubia Mkutano wa Hadhara Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 17 Juni, 2025 kwenye ziara ya Rais samia amesema kuwa;
''Jambo jingine ambalo Mhe. Rais...
Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA ameamua kujitoa mwenyewe sadaka/dhabihu ya mateso kwa ajili ya ukombozi na wokovu wa Watanganyika wote
Angekuwa ni mtu anayefanya haya kwa faida binafsi...
wakuu
=====
Viongozi wengi nchini Tanzania wakiulizwa kuhusu ukweli wa mambo wameonakana kuwa wakali sana ivi kiongozi asiyependa kuulizwa jambo anafaa kuwa kiongozi wa wananchi kweli...
Muungwana akivuliwa nguo hua ana chutama ili kuficha aibu yake lakini ukiendelea kusimama ni kujidhalilisha na zaidi sana watu watakuona kama una mapungufu kichwani, baada ya aliekua "sabufa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.