Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu Kwa kilichotokea leo kati ya Luhaga mpina Mbunge wa Kisesa na Rais Samia ni dhahiri kuwa Rais pia anayafurahia mapambio anayoimbiwa. Mapambio kama vile "mama ametekeleza" "mama hatumdai"...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Hii siyo ile tamthiliya ya Orodha aliyoandika Steve Reynolds (Ile wakongwe tulijibia mtihani wa kidato cha nne laahasha. Huu ni mtimdo mwingine wa tamthiliya isiyokuwa ya kusadikima bali bayana...
0 Reactions
2 Replies
365 Views
Mungu wa mbinguni akupe Raha ya milele Shujaa John Pombe Joseph Magufuli Umeacha alama za kujivunia Kizazi hata kizazi Kanisa Moja Takatifu la Mitume 🙏
3 Reactions
18 Replies
766 Views
Hamjambo wote! Moja ya mambo yanayokwamisha ukombozi katika mataifa ya Afrika ikiwemo Tanzania ni Pamoja na Harakati za Woga za kupigania Uhuru katika Jambo Fulani ndani ya nchi. Huwezi pigania...
10 Reactions
74 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Vijana wao wanne wamepoteza maisha wakati wakiwa njiani kuelekea katika mkutano ambao ameufanya leo, Juni 17, 2025...
2 Reactions
57 Replies
4K Views
Wakuu, Rais Samia anaendelea na ziara yake katika mikoa ya huko Kanda ya Ziwa. Baada ya jana kutoa spana kwa Mpina, je leo ataruka na nani...
0 Reactions
1 Replies
364 Views
Huku Serikali ikiwa inaendelea na juhudi za kuhakikisha huduma za kijamii zinawafikia wananchi haswa maeneo ya vijijini, kamati mbali mbali ambazo zimeundwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Hii ni kwa Mujibu wa Salum Mwalimu ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, amedai kwamba kuonekana watu wachache kunatokana na wafuasi wao wengi kukaa pembeni ili kupisha vumbi la chopa ambayo...
11 Reactions
32 Replies
2K Views
Kusema Kisesa ni kama mwanamke aliyesuka Nywele ni udhalilishaji wanawake Waziri wa wanawake Gwajima mchukulie hatua Mpina Mwanamke aliyesuka nywele kwani ana shida gani?
3 Reactions
18 Replies
965 Views
Wakuu, nimeshtushwa kusikia hii statement leo kutoka kwa kiongozi wa nchi raisi Samia kwamba kuna mbunge wa Taifa na kuna mbunge wa Jimbo. Mwezi October mwaka huu nchini Tanzania kutafanyika...
2 Reactions
6 Replies
701 Views
MBUNGE EZRA CHIWELESA AWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI 2020-2025 KWA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA NA KUPOKELEWA KWA VIFIJO NA NDELEMO, BIHARAMULO TUMEPOKEA ZAIDI YA BIL. 98...
0 Reactions
0 Replies
365 Views
https://www.youtube.com/watch?v=U14SZR1OTYg&pp=ygUFYnVuZ2XSBwkJ3gkBhyohjO8%3D Serikali imesema itaendelea kuwalea na kuwapatia matunzo wazee wasiojiweza ambao hawana familia na ndugu wa kuwatunza...
0 Reactions
0 Replies
228 Views
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ni muhimu kila jimbo kuangalia maendeleo yake na kutathmini kama viongozi wetu wameshiriki kikamilifu kutatua changamoto zinazowakabili wananchi...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Kumekucha wana JF? Haya watetezi wa Rais kazini, huyu Mtangazaji tangu apewe Tuzo kageuka kuwa Chawa naye. Eti Mpina ni mtovu wa nidhamu kumwambia Rais shida alizotumwa na wananchi wake? Jana...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Ameingia bungeni kwa mara ya kwanza 2005 akiwa kijana wa miaka 30.. Amehudumu katika siasa za uwakilishi kwa miaka 20 mfululizo. Mbunge anayetanguliza masilahi mapana ya nchi yake ni mzalendo...
4 Reactions
4 Replies
634 Views
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Shaweji Mkumbura, ametoa wito kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao...
-1 Reactions
3 Replies
434 Views
Baada ya maafa ya mlipuko wa mabomu mbagala na kuteketea kwa makazi ya watu wakati kwa ajali hiyo ya mabomu ya mbagala 2009, kwa wakazi wanaoishi mbagala, amani ilikosekana kabisa, na kufikia...
2 Reactions
28 Replies
866 Views
Kazi inapokuwa ngumu SI vibaya kujikusanya na kupeana hope Ikitokea mashambulizi yanalemea upande wako SI vibaya mkarudi nyuma kidogo kwa Nia ya kujipanga upya Wakuu nasema hivi kwa...
3 Reactions
5 Replies
442 Views
Kuna wimbo wa DMX unaimba move..... get out of my way.... Ole wake aletaye kikwazo ni kulala nae mwendo wa ngiri wanasema R Chugas. Tuendelee kunywa mtori.
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Unaweza ona tuna Rais wa Aina gan? RAIS ambaye ndio Yuko kwenye Mamlaka lakini bado HAJIAMINI na Akisumbuliwa na Inferiority complex. Tuna Rais ambaye Comfortability yake ni hadi Asifiwe, yaan...
5 Reactions
18 Replies
871 Views
Back
Top Bottom