Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sheikh Ponda akizungumza na wananchi mkoa wa Temeke katika mkutano wa ACT Wazalendo amesema kuwa Viongozi wa dini kushiriki siasa linatafsiriwa kama jambo geni kwa sasa, lakini kiuhalisia siyo...
2 Reactions
5 Replies
610 Views
Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Bi Dorothy Semu akizungumza katika mkutano wa hadhara Temeke ameendelea kusisitiza kuwa chama chao kitashiriki uchaguzi ili kuing'oa CCM Madarakati. Amesema...
1 Reactions
2 Replies
378 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mlao, ametoa wito huo kwa vijana kote nchini kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi badala ya kubaki kuwa...
1 Reactions
12 Replies
720 Views
Kama unabisha Fanya Utafiti mdogo bungeni au mahakamani halafu lete mrejesho Ahsanteni sana 😀
0 Reactions
5 Replies
236 Views
Mfumo wa mahakama ni mzuri Sana Africa nzima tuko vizuri haya njoo kwenye huduma za maji.Tanzania tunaongoza kwa kusambaza maji vijijini..ndo maana baadhi ya Wazee hawapendi kusomeka TASAF kama...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
"Zamani 'siku' zilikuwa za wanawake tu, mwanamke akisema haoni siku zake, watu walielewa. Siku hizi, wanaume nao tuna 'siku' zetu, tuna hasira, tunalia ovyo, tunahitaji chocolate na attention…...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Huu ni ukweli ambao ni members wachache wataweza kuusema hapa hapa JF kuhofia kutukanwa na kuchukiwa. Hawa wafuasi hawaaminiki hata kidogo. Support yao mara nyingi imeishia hapa JF na X. Ikienda...
1 Reactions
2 Replies
258 Views
Madiwani wa jiji la Arusha wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ikimpendeza muda utakapofika achukue fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini ambalo kwa sasa lipo chini ya Mrisho...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kila anapokwenda Na kutua katika ardhi ya Nchi hii Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amekuwa...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Msijiingize ktk siasa na kuchagua chama cha kufanyia siasa kama mwanachama. Mkitaka kuingia ktk siasa basi msibase sehemu moja ya siasa. Mkiingia ktk siasa kama sheikh Ponda wa Act wazalendo na...
0 Reactions
1 Replies
232 Views
Wakuu! Kesho Ibada ipo na itaongoza wa na Askofu Gwajima baada ya kutangaza ukurasa wake rasmi wa Instagram kuwa atakuwepo kwenye Ibada ya Jimbo kuu la Dar es Salaam Jumapili Juni 15 na itaanza...
7 Reactions
55 Replies
4K Views
Mchungaji Mbiso wa KKKT Mbezi amesema Mtu mmoja mmoja ambao Mungu wa mbinguni Anaishi ndani yao ndio huitwa Kanisa la Mungu Na kwamba nyumba ya Mungu haijengwi kwa Mawe na ushuhuda ni Mwanzo...
1 Reactions
0 Replies
233 Views
Sheikh Ponda kanyooka kama Kitima, ni mwendo wa kupiga kwenye mshono mpaka kieleweke. ==== Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania ambaye pia ni mwanachama mpya wa Chama cha ACT Wazalendo, Sheikh...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Yoyote yule kwa dini yake, iwe mkristo au muislamu atakumbwa na matatizo ya utekaji, na ndiyo maana hili suala ni la kitaifa , sio la wakristo pekee. Inashangaza sana, kuona watu wanatekwa, arafu...
12 Reactions
116 Replies
7K Views
Natoa tu angalizo kwa wale mnaotumia Moto kaa Ahsanteni sana Nawatakia Sabato njema 🇹🇿
4 Reactions
22 Replies
879 Views
Wiki chache zilizopita Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson akihojiwa na television ya Wasafi alitetea kitendo chake cha kuvunja Katiba kwa kuruhusu Wabunge 19...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Hali ya mbunge mtarajiwa wa Monduli aliyepewa baraka zote na MZEE ni mbaya baada ya kung'ang'ania kuchukua fomu kupitia CCM. Aliambiwa achukue fomu kupitia CHADEMA akakataa,sasa...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Sasa ndio mtajua kuwa Chadema ilijengwa na Mhe. Mbowe au Lissu. Gharika kubwa zaidi inakuja. hakuna atakaye salia, Katibu Mkuu, Kamati kuu, Bavicha, Bawacha, wazee wa CHADEMA wote watabwaga...
11 Reactions
136 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu. Miongoni mwa watu ambao sielewi kabisa mambo yao ni mbunge wa Bariadi Mh Andrew Chenge, nasema hivyo kwasababu ni mtanzania pekee aliye tajwa sana kwenye kashfa nyingi (karibu...
8 Reactions
93 Replies
16K Views
Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wametoa wito kwa Serikali ya Tanzania kusitisha mara moja vitendo vya utekaji wa wapinzani wa kisiasa, watetezi wa haki za binadamu na waandishi...
56 Reactions
225 Replies
10K Views
Back
Top Bottom