Salum Mwalimu, Katibu Mkuu wa CHAUMMA akizungumza na wananchi wa Hedaru Mkoani Kilimanjaro.
"Juzi serikali ya CCM imesoma bajeti ya mwaka 2025/26 mmeona maumivu mengine yanayokuja. Leo angalau...
Daktari wa Falsafa, Saikolojia na Teolojia Mh Elly amesema hakuna Kiongozi aliyepo kwenye kiti kwa bahati mbaya
Bila kujali kapataje uongozi lakini uwepo wake kitini ni Mungu ameruhusu
Source...
Na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ndio hasa dira na formula inayotumika kuwaletea waTanzania maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi.
Tabia ya CCM kuahidi wananchi maendeleo kwa maneno na...
Sera ya Serikali za Majimbo ya Chadema niliikubali sana
Ilikuwa haina longo longo siyo sasa Gesi na Mlima Kilimanjaro havijulikani vinamnufaisha nani
Ahsanteni sana
Mlale unono 😁
Hivi juzi Mahakama ilitoa uamuzi kuhusi sheria iliyopitishwa na Bunge kuweka kinga kwa baadhi ya viongozi kushitakiwa kutokana na mambo wanayotenda wakiwa viongozi wa Taifa.
Uamuzi huu wa...
Waziri wa Mawasiliano na Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jerry Silaa, amefanyiwa Maombi, kuombewa Dua na kuchangiwa Fedha ya kuchukua Fomu Jimboni ukonga
"Nawashukuru sana sana sana wenyeviti wa...
Rwanda mauaji ya kimbari yaliyaanzia kanisani kwa viongozi kuhubiri siasa za chuki kanisani Tanzania haliji tokea kamwe wachanganya siasa wathibitiwe kwa nguvu zote hakuna kuwachekea
Ukicheka na...
Andrew Chenge ni mzee anayefahamika kwa wanaofuatilia siasa nchini. Video yake ya hivi karibuni ambayo alikuwa anamuuliza kijana mmoja kama amesoma imenifanya nimtafute huko bungeni ana elimu...
CHADEMA haitoonea MTU Wala kumsingizia Wala lililo kinyume na KATIBA ya Nchi.
Isipokua Kila MTU ataletwa Mbele ya Mahakama na kuhukumiwa sawa sawa na Matendo yake.
Uwe Umekufa tayari, uwe upo...
Jiji la Dar kwa sasa kila sehemu kumechimbuliwa kwa kweli hali ya usafiri ni mbaya sana!
sasa huyu Msando amekuja kukugombanisha na wana Dar es salaama kwa kusingizia wanatanua barabara wanaleta...
Najaribu kufuatilia kwa ukaribu sana uongozi wa Raisi mama Samia na Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi.
Uchumi umekua wana Jamii forum, na alichokifanya ni uwekezaji tu kwenye:
1. Agriculture
2...
Hapa siwahusishi Wazanzibar kwa sababu wale wanajitambua tangu 1964
Nazungumzia hawa ndugu zangu wa Bara walioamini Mwamba na Ayatollah watawavusha
Kiukweli Tanganyika hakuna vyama vya Upinzani...
Mh. Rais ktk serikali yako waziri pekee aliye karibu na wananchi wako ni Dr. Dorothy Gwajima wengine hata matatizo yaandikwe mara ngapi huwezi kusikia wakijibu kero wananchi.
Hili la watoto wa...
Huyo mweshimiwa mtajwa hapo juu alikua so vocal kupinga utekaji ,ukandamizaji democrasia wakati wa utawala wa rais Magufuli na yuko kimya sana bila ukosoaji wa yanayo endelea sasa Tanzania...
Kipindi cha nyuma kumpata mgombea ubunge wa Jimbo kupitia CCM ilikuwa inahusisha wajumbe wachache, hii ilitoa mwanya Kwa wenye Hela, mawaziri na wabunge wazoefu kuhonga wajumbe.
Kanuni mpya za...
Katika ulingo wa siasa na ujenzi wa taifa, mchango wa viongozi hupimwa kwa fikra, busara, na uwezo wao wa kuchochea maendeleo na mshikamano wa kitaifa.
Hata hivyo, yapo majina ambayo...
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imetoa uamuzi katika kesi ya kikatiba ya Rufaa Na. 134 ya Mwaka 2022, iliyofunguliwa na mtetezi wa haki za binadamu, Wakili Onesmo Olengurumwa dhidi ya...
=====
Wakuu
viongozi wetu wa Dini wamekuwa wakizungumzia hali ya siasa nchini lakini ni hawa viongozi wa jinsia ya Wanaume (ME).
Wamekuwa wakiikosoa serikali na kuitaka kuwasikiliza wananchi juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.