Kama kweli mnapenda basi Mshaurini Rais anazidi kuacha barabara

Papasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Posts
2,996
Reaction score
6,731
Muungwana akivuliwa nguo hua ana chutama ili kuficha aibu yake lakini ukiendelea kusimama ni kujidhalilisha na zaidi sana watu watakuona kama una mapungufu kichwani, baada ya aliekua "sabufa wa bonge" kusema nchi itapigwa mnada kwa kukopa kopa ovyo na akahoji ni lini tuta jitegemea "mama yenu" alimjibu kwa hasira na mipasho kwamba lazima tutakopa sana tuu, na hakuishia hapo kila mmoja anajua kama ni yeye alie sababisha jamaa yule aliejinadi alifika mahali ambako "yesu" alitembea na "mke" wake akajiuzulu

kinacho endelea nchini kimefanya kua vigumu kupata mikopo na misaada "mama yenu" badala ya kuchutama na kuangalia ni wapi alijikwaa anakuja na kichekesho bora kabisa duniani kwa mwaka huu eti "uchumi wetu unafanya vizuri kuliko ulaya na marekani" hiki kichekesho hata maiti ikisikia inaweza kucheka hadi "kujamba" yani katika kipindi hiki ambacho anakopa kupita kiasi anapewa misaada kupita kiasi ndio anatuambia eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko marekani na ulaya?

Aliekua "sabufa wa bonge" alihoji kwa nini tusifunge mkanda tukajibana bana humu humu ili tufanye mambo kwa pesa zetu wenyewe likawa ni kosa "mama yenu" akamfanyia figisu hatimae akajiuzulu bila kupenda, haya Sasa hivi ameona mambo yamekua mchafu koge ameaua kukubaliana na "sabufa wa bonge" kimtindo

Kama mnapenda sana "mama yenu" muambieni ukweli kwamba ameacha njia ameingia porini na sisi hatumchukii hata kidogo lakini hatupendi mambo ya hovyo anayofanya, kama anataka hizi kelele zoote zimalizike muambieni arudi barabarani, ashindane mbio akiwa barabarani ili tujue kama kweli ana kasi kama anavyo jisifu

1750140136369.jpg
 
Makusanyo yote yanalipia mishahara ya watumishi na deni la Taifa huku miradi yote ya maendeleo kuanzia barabara, umeme, maji, mashule na kila kitu ikifanywa kwa pesa za mikopo na misaada alafu anawananga Marekani na Umoja wa Ulayam

Huyu mama ana tatizo kwa kweli
 
Muungwana akivuliwa nguo hua ana chutama ili kuficha aibu yake lakini ukiendelea kusimama ni kujidhalilisha na zaidi sana watu watakuona kama una mapungufu kichwani, baada ya aliekua "sabufa wa bonge" kusema nchi itapigwa mnada kwa kukopa kopa hovyo na akahoji ni lini tuta jitegemea "mama yenu" alimjibu kwa hasira na mipasho kwamba lazima tutakopa sana tuu, na hakuishia hapo kila mmoja anajua kama ni yeye alie sababisha jamaa yule aliejinadi alifika mahali ambako "yesu" alitembea na "mke" wake akajiuzulu

kinacho endelea nchini kimefanya kua vigumu kupata mikopo na misaada "mama yenu" badala ya kuchutama na kuangalia ni wapi alijikwaa anakuja na kichekesho bora kabisa duniani kwa mwaka huu eti "uchumi wetu unafanya vizuri kuliko ulaya na marekani" hiki kichekesho hata maiti ikisikia inaweza kucheka hadi "kujamba" yani katika kipindi hiki ambacho anakopa kupita kiasi anapewa misaada kupita kiasi ndio anatuambia eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko marekani na ulaya?

Aliekua "sabufa wa bonge" alihoji kwa nini tusifunge mkanda tukajibana bana humu humu ili tufanye mambo kwa pesa zetu wenyewe likawa ni kosa "mama yenu" akamfanyia figisu hatimae akajiuzulu bila kupenda, haya Sasa hivi ameona mambo yamekua mchafu koge ameaua kukubaliana na "sabufa wa bonge" kimtindo

Kama mnapenda sana "mama yenu" muambieni ukweli kwamba ameacha njia ameingia porini na sisi hatumchukii hata kidogo lakini hatupendi mambo ya hovyo anayofanya, kama anataka hizi kelele zoote zimalizike muambieni arudi barabarani, ashindane mbio akiwa barabarani ili tujue kama kweli ana kasi kama anavyo jisifu

View attachment 3372571
OKTOBA TUNA ✔️
 
Muungwana akivuliwa nguo hua ana chutama ili kuficha aibu yake lakini ukiendelea kusimama ni kujidhalilisha na zaidi sana watu watakuona kama una mapungufu kichwani, baada ya aliekua "sabufa wa bonge" kusema nchi itapigwa mnada kwa kukopa kopa ovyo na akahoji ni lini tuta jitegemea "mama yenu" alimjibu kwa hasira na mipasho kwamba lazima tutakopa sana tuu, na hakuishia hapo kila mmoja anajua kama ni yeye alie sababisha jamaa yule aliejinadi alifika mahali ambako "yesu" alitembea na "mke" wake akajiuzulu

kinacho endelea nchini kimefanya kua vigumu kupata mikopo na misaada "mama yenu" badala ya kuchutama na kuangalia ni wapi alijikwaa anakuja na kichekesho bora kabisa duniani kwa mwaka huu eti "uchumi wetu unafanya vizuri kuliko ulaya na marekani" hiki kichekesho hata maiti ikisikia inaweza kucheka hadi "kujamba" yani katika kipindi hiki ambacho anakopa kupita kiasi anapewa misaada kupita kiasi ndio anatuambia eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko marekani na ulaya?

Aliekua "sabufa wa bonge" alihoji kwa nini tusifunge mkanda tukajibana bana humu humu ili tufanye mambo kwa pesa zetu wenyewe likawa ni kosa "mama yenu" akamfanyia figisu hatimae akajiuzulu bila kupenda, haya Sasa hivi ameona mambo yamekua mchafu koge ameaua kukubaliana na "sabufa wa bonge" kimtindo

Kama mnapenda sana "mama yenu" muambieni ukweli kwamba ameacha njia ameingia porini na sisi hatumchukii hata kidogo lakini hatupendi mambo ya hovyo anayofanya, kama anataka hizi kelele zoote zimalizike muambieni arudi barabarani, ashindane mbio akiwa barabarani ili tujue kama kweli ana kasi kama anavyo jisifu

Keshaingia porini.
 
We mbwa koko ndio waziri wa fedha? Acha ushambenga, Rais siku akipokea mgawo wa hisa sasa hivi tunalazimishiwa kukopa baada ya nchi kuwa ktk hali nzuri kiuchumi we hayo matope yako umeyatoa wapi. Nchi iko vizuri sana na iko mikononi mwa mtu sahihi mwenye akili nyingi siyo porojo. Kila kitu kinaenda vizuri unatuletea matope yako hapa? Uwe na adabu we mbwa
 
Makusanyo yote yanalipia mishahara ya watumishi na deni la Taifa huku miradi yote ya maendeleo kuanzia barabara, umeme, maji, mashule na kila kitu ikifanywa kwa pesa za mikopo na misaada alafu anawananga Marekani na Umoja wa Ulayam

Huyu mama ana tatizo kwa kweli
We shoga tuliza makalio
 
Mwenye matatizo ni mamako kuruhusu kuzaa kibwengo km ww
 
Muungwana akivuliwa nguo hua ana chutama ili kuficha aibu yake lakini ukiendelea kusimama ni kujidhalilisha na zaidi sana watu watakuona kama una mapungufu kichwani, baada ya aliekua "sabufa wa bonge" kusema nchi itapigwa mnada kwa kukopa kopa ovyo na akahoji ni lini tuta jitegemea "mama yenu" alimjibu kwa hasira na mipasho kwamba lazima tutakopa sana tuu, na hakuishia hapo kila mmoja anajua kama ni yeye alie sababisha jamaa yule aliejinadi alifika mahali ambako "yesu" alitembea na "mke" wake akajiuzulu

kinacho endelea nchini kimefanya kua vigumu kupata mikopo na misaada "mama yenu" badala ya kuchutama na kuangalia ni wapi alijikwaa anakuja na kichekesho bora kabisa duniani kwa mwaka huu eti "uchumi wetu unafanya vizuri kuliko ulaya na marekani" hiki kichekesho hata maiti ikisikia inaweza kucheka hadi "kujamba" yani katika kipindi hiki ambacho anakopa kupita kiasi anapewa misaada kupita kiasi ndio anatuambia eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko marekani na ulaya?

Aliekua "sabufa wa bonge" alihoji kwa nini tusifunge mkanda tukajibana bana humu humu ili tufanye mambo kwa pesa zetu wenyewe likawa ni kosa "mama yenu" akamfanyia figisu hatimae akajiuzulu bila kupenda, haya Sasa hivi ameona mambo yamekua mchafu koge ameaua kukubaliana na "sabufa wa bonge" kimtindo

Kama mnapenda sana "mama yenu" muambieni ukweli kwamba ameacha njia ameingia porini na sisi hatumchukii hata kidogo lakini hatupendi mambo ya hovyo anayofanya, kama anataka hizi kelele zoote zimalizike muambieni arudi barabarani, ashindane mbio akiwa barabarani ili tujue kama kweli ana kasi kama anavyo jisifu

Pale mkulu anapokuwa na tatizo la umeme mdogo kichwani haya ndiyo matokeo yake
 
We mbwa koko ndio waziri wa fedha? Acha ushambenga, Rais siku akipokea mgawo wa hisa sasa hivi tunalazimishiwa kukopa baada ya nchi kuwa ktk hali nzuri kiuchumi we hayo matope yako umeyatoa wapi. Nchi iko vizuri sana na iko mikononi mwa mtu sahihi mwenye akili nyingi siyo porojo. Kila kitu kinaenda vizuri unatuletea matope yako hapa? Uwe na adabu we mbwa
embu jaribu kueleza Huo uchumi umekuaje kuliko Marekani Yenye Viwanda mara 10 ya mlivyonavyo
utasema kwa Utali🤣alfu manufacturing inaingiza 8% Kwa national growth 🤣🙌
KILA KITU LUXURY VINATOKEA WESTERN COUNTRIES
MNATAFUTA ELA MLIPE WESTERN COUNTRIES
WORLD BANK IKO WESTERN COUNTRIES
TANZANIA BADO INAFAHAMIKA NI "LOW-MIDDLE CLASS COUNTRY"
43% OF TZ CITIZEN LIVE UNDER $2.15 Tuambie Percent ngap USA wanaishi chini ya Poverty line?
tumia Common Sense
 
Attachments

  • IMG-20250617-WA0004.jpg
    IMG-20250617-WA0004.jpg
    70.9 KB · Views: 27
Back
Top Bottom