Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia kateleza ulimi alipokuwa anatoa ufafanuzi wa hoja za Luhaga Mpina. Kazi ya Mbunge si kuleta maendeleo wala kutoa huduma kama alivyodai. Bali mbunge ni mwananchi anayewawakilisha wenzake...
2 Reactions
10 Replies
858 Views
David Kafulila MP Member of Parliament for Kigoma South Personal details In office November 2010 – November 2015 Preceded by Manju Msambya Born 15 February 1982 (age 43)...
1 Reactions
7 Replies
369 Views
Mbunge wa Makete, Festo Sanga akizungumza Bungeni, leo Juni 17, 2025 amesema anajivunia kuona michango ambayo alichangia Bungeni imefanyiwa kazi na Serikali, akitaja baadhi kuwa ni Faini ya...
0 Reactions
3 Replies
441 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ziara ya Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama...
4 Reactions
148 Replies
7K Views
Mnec Mlao: UVCCM kumsemea Rais Samia Suluhu Hassan maana vijana mnaishi na jamii
0 Reactions
0 Replies
240 Views
Huu ni utafiti wangu mdogo nilioufanya jana na leo,sikutegemea kama kesi ya Antipas Lissu ingefwatiliwa na watu wengi kiasi hiki. Leo wanaume kwa wake wanaijadili kauli ya Tundu lissu kwa nini...
3 Reactions
13 Replies
778 Views
Badala yake akachaguliwa kwa shingo upande Masatu Wassira. Je waliogopa kuhusishwa na mambo haya ya sasa ukiwemo Utekaji, au wameshiba hela za bure? Ina maana hawajui mihela wanayogawana ccm...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
MNEC Mlao: Umoja wa vijana wa CCM ni tanuru la kuwoka vijana wenye sifa ya kuwa viongozi, twende kuwasemea vijana wenzetu wenye sifa ya kuwa viongozi kwenye vikao vya maamuzi
1 Reactions
1 Replies
288 Views
Leo nimemsikia Tundu Lissu akilalamikia kutoruhusiwa kwenda kusali na kumuomba Mungu. Mie namshauri amuombe Samia na kumshukuru na mambo yake yatanyooka.
-8 Reactions
56 Replies
2K Views
Katika mazingira ya kisiasa ambapo haki za msingi za raia zinaendelea kukandamizwa, maandamano ya kiraia yanabaki kuwa njia halali na ya mwisho ya wananchi kudai haki yao. Kufuatia kukamatwa na...
4 Reactions
6 Replies
483 Views
Kwa Kauli ya Bashe kuna haja ya kuona sasa Mamlaka ya Urais pia inafaa kutiliwa shaka kwenye decisons zake na kwamba sio sehemu salama sana kwenye kuamua HATMA ya Resources za Taifa kwa kuwa it...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Hellow! Mlituambia kuwa Nchi itaendelea kukopa kwa maendeleo ya taifa, Mkaemdelea kusema, tunakopa kwa sababu tunakopesheka. Akaibuka spika wa bunge na kuonya ukopaji wa spidi kuwa una madhara...
6 Reactions
10 Replies
586 Views
Mlipokuwa mnaita mama, mama, mama, sasa haya ndiyo madhara yake. Ukimueleza ukweli anaona kama unamkosea unamvunjia heshima mama. Ukimkosoa anaona hastahili kukosolewa, unamkosoaje mama yako...
3 Reactions
7 Replies
425 Views
Kesi ya Marejeo iliyopo Mahakama Kuu Dar esn Salaam iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri Na. 14496 ya 2025 ambayo ilipangwa kutajwa leo Juni 17, 2025...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa namna Vijana wanavyouawa Sijajua hiyo Katiba mpya inamsaidia nani Citizen tv wameonyesha mchuuzi wa barakoa akipigwa risasi ya kichwa na polisi hadharani mchana kweupe Nimeogopa sana...
2 Reactions
19 Replies
546 Views
Wakuu Hapa nimewasogezea Mnyukano mkali niliokutana nao mtandao wa X kati ya Zitto Kabwe, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba na Profesa Anna Tibaijuka kuhusu pendekezo la kutoza ushuru wa 10% kwenye...
18 Reactions
155 Replies
8K Views
Wakili wa Kimataifa, "Robert Amsterdam" amerusha mawe mawili gizani kwa kuisakama na kuiponda serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia Suluhu Hassan kwa ukandamizaji wa haki, sheria na uonevu...
14 Reactions
38 Replies
2K Views
GTs Walioko karibu na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tafadhali mfikishieni ujumbe huu kwa unyenyekevu na mapenzi mema: Hotuba yake ya leo kuhusu Mpina pamoja na zingine zenye mwelekeo wa...
1 Reactions
7 Replies
608 Views
Hiyo ndio tafsiri yangu, kwamba kusimamisha shughuli za chama, inagusa hata hao maofisa wa makao makuu. Nashauri jengo hilo lifungwe
0 Reactions
9 Replies
484 Views
Aisee kitu ambacho Lissu anashindwa kuelewa Tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kifukara Sasa jiulize anaowatetea sasa miezi miwili imepita Lissu yupo ndani...
14 Reactions
114 Replies
4K Views
Back
Top Bottom