Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 24, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge watapiga kura kupitisha bajeti kuu ya Serikali ya...
CCM bado itakaa madarakani kwa Miaka mingine zaidi ya 50 kwa sababu ya mfumo uliosukwa.imagine kuna kipindi kile chama kimoja siasa mpka jeshini wanajeshi wakiimba kidumu chama cha mapinduzi...
Kuna tetesi nimezipata mahali kuwa JWTZ imeliagiza JKT kuacha mara mmoja kuandikisha vijana jeshini kwa Vimemo kutoka kwa wanasiasa. Unakuta Mwanasiasa moja analeta majina ya ndugu 100 kupitia...
In the context of politics, a cartel refers to a group of political parties/individuals that collaborate to maintain their power and influence within the political system, often by limiting...
Leo tunapaswa kujitafakari kwa kina kama taifa. Kuna hali ya kuogopa, kujishusha, na kujiaminisha kuwa sisi wananchi hatuna mamlaka ya kusema lolote kuhusu hatma ya taifa letu. Tumejenga tabia ya...
Vita ya ubunge Korogwe Mjini ya moto, Eng. Omary Mungia ambaye ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Korogwe mjini na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Tanga.
Jina la Eng.Mungia si...
Nimekumbuka mwaka 2009 huko Korea ya Kusini Rais wao Roh Moo-hyun alijiua.
Wale walinzi huwa ni kwa ajili ya maadui wa nje au hata dhidi yake mwenyewe?
Katibu wa Mafunzo, Uenezi na Siasa wa CCM Mkoa wa kilimanjaro, Abraham Urio, amesema Tsh Billioni 188.59 zatolewa kwa shirika la Umeme Tanesco Mkoa wa Kilimanjaro iliyowezesha shirika hilo...
No reform no Election
Reform zitafanyika kabla ya uchaguzi
Kwa sababu Sheria za uchaguzi xilixotungwa kwa Sasa ni batili na ni kinyume na katiba
Machawa na waropokaji mjiandae!!
Yeyote...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Rais Samia ameagiza kila wilaya ambayo haina VETA ya serikali ijengewe VETA ya serikali. Ujenzi unaendelea katika wilaya 64...
Moshi mke wa mwanasiasa, hapa mwasiasa yupo tayari kumtia mkewe kafara Ili ashinde,
Pili mtoto wa kwanza wa mwanasiasa.
3.mtoto wa MWISHO wamwanasiasa
4. Walemavu hapa Hasa wa ngozi
A5.watu...
Ni mda mrefu umepita sijamsikia huyu kiongozi kipenzi cha WanaKahama
Si mwingine ni ndgu. Fadhili Nkurlu
Mara ya mwisho alikuwa mkuu wa Wilaya ya Kahama.
Mwezi ulioisha nilikuwa kahama kikazi...
Wakuu,
Wacha waendelee kutubaragaza mpaka tutoe mlio!
=====
Serikali iko mbioni kulipa mabilioni ya shilingi ya walipa kodi, kwa Harbinder Singh Sethi, anayejiita mmiliki wa kampuni ya kufua...
Nina Imani Dr slaa atakuwa amelala, na Dr Jakaya atakuwa amelala Mimi Niko macho doria namlinda mkubwa ambae nimepita dirishani NASIKIA purukushani za kuomba morning grory kwa mkewe yote haya...
Ccm Haina huruma kwa Nini?
Kweli uchaguzi ujao wapo tayari kutuongezea mizigo hii
Yaani makonda na Harmoniza?
Mimi nauliza ccm mbona Haina huruma?
Najiuliza Harmoniza, baba levo stivu...
Leo sina mengi ,ila imani ya Mungu ikawe juu yenu wanajf kila mmoja kwa imani yake.
Yupo huyu Bwana aliekua CHADEMA Yeriko Nyerere.
1.Akome jiita Nyerere , maana kwanza sio mtoto wa Nyerere...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji amesema wanaokosoa wanapiga kelele, amwambia Rais Samia achape kazi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo, siku zinavyozidi kwenda ndio Chadema inavyozidi kuyeyuka kama barafu kwenye jua kali.
Wengi tumeshuhudia matamko kila kukicha kutoka kwa makamanda na viongozi, wote...
Tumeshuhudia umati WA vijana wanao jiita Wadudu, wakiamdamana wakidai Makonda take hasitake watamchukulia form na atakuwa mbunge popote
Uko kwingine Gambo nae anazidi kujigamba kama majina yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.