Reform zitafanyika, Machawa jiandaeni kisaikolojia

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,711
Reaction score
58,833
No reform no Election

Reform zitafanyika kabla ya uchaguzi

Kwa sababu Sheria za uchaguzi xilixotungwa kwa Sasa ni batili na ni kinyume na katiba

Machawa na waropokaji mjiandae!!

Yeyote anayeikataa reform atadondoka vibaya Sana!!
 
Mkuu unaweza kurekebisha uandishi kidogo?
 
No reform no Election

Reform zitafanyika kabla ya uchaguzi

Kwa sababu Sheria za uchaguzi xilixotungwa kwa Sasa ni batili na ni kinyume na katiba

Machawa na waropokaji mjiandae!!

Yeyote anayeikataa reform atadondoka vibaya Sana!!
Hizi Habari umezipata wapi?
 
Toa ushahidi kwamba kweli zinafanyika. Ccm sio waru wa kuamini hata kidogo.
 
Back
Top Bottom