Tanzania kwa sasa inafahamika rasmi kama nchi ya uchawa, ujinga, umasikini, rushwa, ufisadi, pamoja na ubabe wa dola dhidi ya Wananchi. Haya yote hayajafanikiwa kwa mara moja. Ni matokeo ya...
Kwa mfano Leo siku nzima shughuli Nairobi zimesimama kisa akina Kalonzo kujiingiza kwenye maandamano ya Gen Z
Shujaa alikuwa anaona mbali sana
Ahsanteni
MIRADI YA TACTIC IMELETA MAPINDUZI YA KIUCHUMI MAJIMBONI KWETU- WABUNGE
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameeleza mageuzi makubwa ya kiuchumi na Kijamii yaliyojitokeza ikiwemo...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo nikijkita kwenye kumpongeza Spika wa Bunge, Dr Tulia Akson kwa kukumbushia majukumu na wajibu wa mihimili ni kwa Katiba ya JMT ...
1. Lissu na Mbowe watakosana. Kutakuwa na mgongano wa kimtazamo na kimwelekeo kati ya Mh. Lissu ambaye ni mtarajiwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA na Mwenyekiti wake Mh. Mbowe.
2. Kuna kiongozi...
habari ! Hakika kuna watu hata usipowapenda lakini wanajua kujibrand ,Arusha hakuna vyombo vya habari vingi kama Dar ,Arusha hakuna Mastaa wengi kama Dar ,mastaa kule ni wadudu ,cha ajabu Makonda...
Wazee wa CCM ni kama kundi la wachekeshaji. Yule mwingine anajilinganisha na Trump na kila kukicha lazima atoe maneno yanayoleta mshangao kwa watu.
Huyu mwingine wakati nchi ipo kwenye...
Nchi hii bwana inaendeshwa kinyume sana, yaani vurugu tupu.
Sasa Raisi wa Zanzibar anatangaza kusogeza mbele kuvunjwa kwa Baraza la Wawakilishi kabla ya Raisi wa Tanzania Samia kutangaza...
Wakuu,
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Jimbo la Siha kupitia CHADEMA, Robert Gabriel Mrisho, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi hiyo pamoja na kujiondoa kuwa mwanachama wa chama hicho alichokihudumia...
Kuna mzaha hufanywa na baadhi ya watu dhidi ya wanasiasa wanaoipinga CCM wanapokimbilia nje ya Tanzania.
Kuna hoja kwamba huwezi kupigania maslahi ya Tanzania na watanzania ukiwa nje ya Tanzania...
Katika barua rasmi aliyoiwasilisha kwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Siha, tarehe 24 Juni 2025, Mrisho amesema amekuwa mtumishi mwaminifu wa chama tangu mwaka 1995, akihusika katika kampeni na...
Ujumbe kutoka Tundu Lissu
"Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani;
Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha,
Sasa naruhusiwa...
Hivi karibuni kumekuwa na baadhi ya Wabunge wanaojitokeza katika majimbo yao na kuanza kutoa misaada mbalimbali, pia kuna Wanasiasa ambao nao sio Wabunge lakini hawakauki kwenye majimbo.
Wengine...
Amos Makala gwiji la siasa na mbobezi wa magonjwa ya M- pox na Ebola amesema wagombea wa CCM wataanza kuchukua fomu tarehe 28 June baada ya raisi kulivunja bunge.
Uku kwetu Zanzibar Raisi Mwinyi...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ametoa ufafanuzi kuwa Veterani waliopigana Vita ya Kagera wanatarajiwa kuanza kulipwa Julai 2025 na sio Julai 2026 kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.