Nina mashaka na uraia wa Viongozi wengi wanaotuongoza kwa Sasa .
Tanzania ni miongoni mwa nchi iliyosifika kwa amani haki na utulivu katika miongo 5 iliyopita toka mwaka 1961 hatukupata Uhuru kwa...
Wakuu !
Nawasalimu kwa jina la JamiiForums, Where we dare to talk openly
Kama kichwa cha huu uzi kinavyonieleza hapo juu. Kumbe hawa Watendaji wa Serikali huwa wanaelewa sana yale maneno ambayo...
Nawaza tu baada ya kufuatilia Uchaguzi wa Papa hivi karibuni
Ngoja nitafiti Mufti naye anachaguliwaje anaweza kuwa mfano mzuri wa kuigwa
KKKT kwa akina Askofu Dr Shoo chaguzi zao zinaeleweka...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema amekuja na mpango wa smart classes (madarasa janja) kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi wa Buchosa kufaulu masomo yao hasa ya Sayansi na kukabiliana na...
MAKAMU Mwwnyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewaeleza wabunge na madiwani hususan waliokuwa wanajifungia vioo kwenye magari wajue wakati umefika.
Amesema...
Hawa watu ni muhimu sana Kwa Manufaa ya Tanzania ya Leo na baadae , ni watu ambao Kanuni, Falsafa na Imani zao kuhusu Tanzania Bora zinapaswa kugeuza kua ITIKADI YA NCHI !!.
Ni watu ambao ni...
Huyu Hapa ni Abbas Tarimba, Mbunge wa Kinondoni ambaye hajui hata alipataje Ubunge huo akijikuta kakaa kwenye kijiwe ambacho hata haelewi amefuata nini.
Tarimba anatajwa kuwa ni miongoni mwa...
Mi nilidhani kwakua ewe Israel wa Sasa unaedhaniwa umtakatifu mteule wa Mungu kama wengi wasemavyo basi ungekua peace maker na sio kuwa chaos inducer Kwa ulimwengu!!
Ukifikiri kwa kina unakosa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa mabaraza yote ya madiwani nchini yatavunjwa rasmi ifikapo Juni 20, 2025.
Tangazo...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza kuwa atavunja rasmi Baraza la Wawakilishi Zanzibar ifikapo Agosti 13, 2025, ili kuwezesha maandalizi ya...
Kupiga kura ni haki ya kikatiba inayomwezesha kila Mtanzania kushiriki katika maamuzi ya nchi kwa njia ya amani, kupitia kura wananchi huamua ni nani awaongoze katika nafasi za kisiasa kama Rais...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira, amesema utawala bora ni kutii katiba na sheria za nchi, hivyo mtu yeyote asiyetii na anataka kufanikisha mambo yake binafsi kwa...
Wananchi wa kata ya Mwanase mkoa wa Shinyanga wamemshukuru Mh Rais Samia kwa kuwapatia Baisketi katika kata hiyo kwa ngazi ya mabalozi huku wakimwahidi kura za kutosha kuelekea uchaguzi mkuu pia...
Spika wa bunge anamuhakikishia mtu ubunge kama nani kwani ubunge unatolewa na spika au wananchi.
Nimesikia spika anamuhakikishia mtu ubunge huko, sasa kwani ubunge unatolewa na wananchi au spika...
Jana katika ziara ya Mhe. Rais katika Wilaya ya Itilima Mhe. Mpina Mbunge wa Kisesa alipewa muda kusema machache kuhusu Jimbo lake la Kisesa. Mhe. Mpina alisema kero za Jimbo lake likiwemo kwa...
Katibu wa NEC - Oganaizesheni wa CCM Taifa (MCC) Issa Haji Ussi Gavu leo tarehe 23 Juni 2025 ameshiriki Mkutano Mkuu Maalum wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es salaam, akiwa Mgeni Rasmi...
Baada ya gazeti maarufu la Marekani, The Wall Street Journal (WSJ), kuchapisha makala inayomkosoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya shirika jingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.