Yuko wapi kiongozi Kipenzi cha Wanakahama Fadhili Nkurlu?

Yuko wapi kiongozi Kipenzi cha Wanakahama Fadhili Nkurlu?

Joined
Nov 19, 2017
Posts
814
Reaction score
1,026
Ni mda mrefu umepita sijamsikia huyu kiongozi kipenzi cha WanaKahama
Si mwingine ni ndgu. Fadhili Nkurlu
Mara ya mwisho alikuwa mkuu wa Wilaya ya Kahama.
Mwezi ulioisha nilikuwa kahama kikazi hakika sifa za huyu mtu kwa wananchi wa kahama ni nyingi mno.
Binafsi naomba mamlaka ya uteuzi ktk kipindi hiki ambacho uteuzi mpya wa wakuu wa wilaya ukitarajiwa
Ikiona vyema imkumbuke kiongozi huyu.

IMG_20210603_155405.jpeg
IMG_20210603_155348.jpeg
 
Watu wanahangaika sana kuwapigia debe watu wao wapate uteuzi!!! Mkitaka kuwa matajiri bila kuiba mjiajiri sio kubaki kuomba uteuzi huko hakuna kutajirika ni kuiba imprest tu!!!
 
Ndgu huenda hujui unachokizungumza.

Ndio maana hata ubini wko niwakufikilika.

Mimi huyu ndgu simfahamu na ukitaka kujua kuwa huyu ni kiongozi mhimu sana.

Tembelea pale kahama utazikuta sifa zake.

Kuna kipindi uteuzi wke ulitenguliwa kwa figisu tu.

Sina ukaribu nae wowote ila ukweli utaendelea kuwa ukweli.
Watu wanahangaika sana kuwapigia debe watu wao wapatee uteuzi!!! Mkitaka kuwa matajiri bila kuiba mjiajiri sio kubaki kuomba uteuzi huko hakuna kutajirika ni kuiba imprest tu!!!
 
Ndgu huenda hujui unachokizungumza
Ndio maana hata ubini wko niwakufikilika
Mimi huyu ndgu simfahamu na ukitaka kujua kuwa huyu ni kiongozi mhimu sana
Tembelea pale kahama utazikuta sifa zake.
Kuna kipindi uteuzi wke ulitenguliwa kwa figisu tu.
Sina ukaribu nae wowote ila ukweli utaendelea kuwa ukweli.
Kama huna ukaribu nae ulijuaje kuwa alitenguliwa kwa figisu!! Tulia kule kande zako yeye alichezea shilingi chooni basi! Ni nadra sana bahati kurudi mara mbili!!!
 
Ahsante kwa maoni yko.
Kama huna ukaribu nae ulijuaje kuwa alitenguliwa kwa figisu!! Tulia kule kande zako yeye alichezea shilingi chooni basi! Ni nadra sana bahati kurudi mara mbili!!!
 
Back
Top Bottom