Kimsingi mmeeleweka KWA asilimia kubwa tena KWA muda mfupi.
Kwa utisho wa no Reform no Election rangi nyingi tumeziona. Watu wengi wameona na kuthibitisha chadema ndio wapinzani wa kweli.
Sasa...
RAIS anataka kuwakamua wananyonge na Masikini, wakati huohuo amefail katika Usimamizi wa FEDHA hizo zinazokusanywa, amefail katika kukusanya hizo Fedha.
Luaga Mpina mara Kadhaa anaonyesha Kwa...
Naendelea kusimama na Gwajima, Kuna MTU 100% anatumia Dola kwa Faida yake ya Kisiasa .
Hiii haiingii akilini, yaan Vijana wanaotumia tu Mitandao ya kijamii, kukosoa, kuelemisha , wanaonekana Et...
Ndugu Mtanzania ,ambaye hata hujafika Sekondari!.
Taasisi inayoshughulika na Usalama wa Nchi Kwa aina zake yaaan
Usalama wa Chakula
Usalama wa Ajira ya Watanzania
Usalama wa Kijamii (Elimu...
Kwa hali ilivyo, Vijana Wasomi ,Wazalendo, Wenye Maono na Uthubutu, ni ngumu sana kwao kua Viongozi kupitia Sanduku la Kura !!.
Ndio sababu unaona Hata hao viti Maalum wanasuguliwa sana Mbunye...
" Watu wanatekwa na juzi IGP ni shahidi nampongeza sana, kasema wamefanikiwa kupunguza utekaji, maana yake IGP anawajua wanaoteka ndiyo maana ameweza kuwadhibiti. Sasa mimi wito wangu kwa IGP, ili...
Huo ndio ukweli
Kwa mfano utaratibu wa Chadema wao hufanya Kura za maoni kisha Kamati kuu huyapitia majina ya wagombea wote na Kura walizopata kisha humteua wanayempenda na kupeleka jina lake...
CCM Haina Tena Vijana wenye Akili , Haina kabisa !!
Ndio sababu utaona kuanzia CCM kwenyewe Hadi kwenye Dola, ni kama vile Hawa watu wote wamesoma Darasa Moja na Mwalimu wao ni Mmoja na Uwezo...
Wakuu hapa Akili simaanishi Elimu, Vijana wa CCM Akina Kawaida Simnaona Wana Degree lkn ni chapa maandazi, akiongea tu unajua Kichwan hamna kitu!!.
Hata hivo ni kweli ,Mchakato wa MTU kufikia...
Nimeota Ally Kamwe ndiye mwamuzi wa derby ya Simba na Yanga.
Kumbe sio ndoto ni kweli:
Ramadhan Omary Mapuri Mwenezi mstaafu wa CCM ni Kamishna wa Tume ya taifa ya Uchaguzi. Halafu wanasema eti...
Baada ya katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha kuulizwa kuhusiana na hela ambazo mke wa mbunge wa Arusha mjini mrisho Gambo alizigawa kwa wajumbe wa CCM akiwepo katibu mwenezi ndani ya kikao hicho...
Mimi binafsi sijaamini aliyoyasema Mhe. Mpina kuwa kuna wafugaji walikamatiwa ng'ombe wao wakaenda Mahakamani wakashinda kesi lakini licha kushinda kesi mpaka leo hawalipwa ng'ombe wao au fedha...
Wakuu,
Yaani hawa wananchi wa Buchosa akili zao zinatakiwa kupigwa window kabisa, maana ni aibu sana kuambiwa maneno kama hayo na Mbunge alafu ukakaa chini ukasikiliza.
Uko Marekani watu wapo...
Wakuu,
Siku ya leo ndo ile siku ambayo Mahakama itaanza kusikiliza kesi ya CHADEMA baada ya kushtakiwa na wanachama wao wa Zanzibar kwamba wanatumia mali za chama vibaya
==============...
Baada ya Serikali kutangaza kuvunja mabaraza ya madiwani kote nchini huku Juni 27 mwaka huu Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kuvunja Bunge 12 ili kupisha...
Spika Dkt. Tulia alivyowataka Wabunge kupunguza sauti na kuepuka kuongea na Simu na Wajumbe Bungeni; "Mnaanza kidogo kidogo, halafu zinapanda"
"Waheshimiwa Wabunge mnajadiliana mambo ya msingi...
Nina jiuliza sirro alitenguliwa ukuu wa Jeshi la POLISI?
Je alitenguliwa kimakosa?
Najiuliza Rais Mwinyi wa zanzibari aliongoza miaka mitano ya kwanza akiwa na Hayati Magufuli, amepiga mitano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.