Yaani kuna wanaJF ni vilaza Sana
Mfano huyu jamaa anajiita Pascal Mayalla , anasema kuwa watanzania tusichague wabunge vilaza Kama ilivyokuwa 2020.
Swali je mwaka 2020 sisi hao wabunge wananchi...
HOTUBA YA MHESHIMIWA DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAGANA NA BUNGE NA KULIVUNJA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, UKUMBI WA BUNGE...
Nilisema katika comments flani hapa JF kuwa Mh.Kikwete hafai kuwa Raisi kama hawezi kulivunja Bunge ,wanasema hana ubavu au hakuna kifungu kinachomruhusu na kumuwezesha kulivunja Bunge la Katiba...
Utaratibu wa kikatiba ni kwamba Bunge likivunjwa Mawaziri nao wanapoteza sifa za kuendelea na Uwaziri kwani Waziri ni lazima awe Mbunge.
Huko nyuma utaratibu huu uliheshimiwa na marais wote hadi...
GT
Katika ulimwengu wa harakati za mapinduzi ya kisiasa na kusukuma nchi iende mbele kile kinachotokea Kenya ni sahihi kabisa maana wanaijenga nchi yao.
Ndugu zangu hakuna taifa lolote tajiri...
Askofu Mkuu Baba wa Imani Dr Gwajima PhD - Mwangalizi wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani. Anatajwa kuhudhuria Bungeni ambapo litavunjwa rasmi tayari kwa uchaguzi.
***Tumtakie matashi MEMA...
Mbunge wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda amesema kuwa baada ya Rais Samia kulihutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atajiunga rasmi na Chama cha...
BUNGE linavunjwa rasmi leo ni Mbunge gani ungetamani sana arudi Bungeni tena katika Bunge lijalo la Novemba? Mimi ninao wachache
1. Ndugai
2.Simbachawene
3.Mkumbo
Uchaguzi hauwezi kufanyika bila upinzani wenye nguvu na uwepo wa haki kinachoenda kufanyika ni maigizo sio uchaguzi.
Hakuna uchaguzi bila mabadiliko bali maigizo.
Ijumaa Kareem!
Nchi IPO pazuri. Uchaguzi! Uchambuzi!
Kuingia mjengoni nikagonge Meza. Jioni nipokee mkwanja.
Sasa kuna mtu asiyejulikana au tumuite aliyesahaulika ingawaje heshima yake...
Kila mtu ana ndoto ya kuwa kiongozi, lakini swali kubwa linabaki ni nafasi ipi inafaa zaidi kwako? Ukitazama mbali, unaona Bunge likiangaza hoja na majadiliano, huku wabunge wakitoa ahadi na...
Vijana tukiwa takribani 40% ya idadi ya watu hapa nchini hivi sasa ...
Tumeambiwa tupo wengi tuliyohitimu level mbali mbali za elimu diploma, degree na Masters....(still jobless & moodless)...
Kwa upande wa Zanzibar tayari Mheshimiwa Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza la wawakilishi Zanzibar mnamo tarehe 23 Juni Kama ilivyokuwa imepangwa na badala yake akaongeza uhai wa Baraza la...
Viongozi wa nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya wanaokutana katika mkutano wa kilele mjini Brussels, wamekubali kurefusha vikwazo vyao dhidi ya Urusi kwa muda wa miezi sita, kwa mujibu wa duru za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.