Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Usalama wa Taifa si tu kutokuwepo kwa vita, usalama wa Taifa unahusu umoja wa Kitaifa, Utulivu wa kisiasa, uchumi, teknolojia, masuala ya kijeshi na mazingira. Chadema kimekwisha kuwa chama cha...
2 Reactions
3 Replies
321 Views
Nimeumia Waziri ameunda kamati ya uchunguzi wa tatizo Msemaji wa serikali anasema umeme wa Taifa ni sawa wa nyumbani kwetu Reali ukikatika inazima lulu? So so so stupid Msigwa kaa chini sio kila...
1 Reactions
4 Replies
300 Views
Nimeenda Chuga kumsalimia jamaa yangu. Nilipofika maeneo ya Philps kama unaenda Usa river kutokea mjini nimekutana na mabasi yakiongozwa na Landcruiser nyeupe zina bendera nyekundu. Kwa sababu...
4 Reactions
67 Replies
1K Views
Kabla ya Samia hajaingia madarakani suala la Vyuo vikuu au TAWI la Chuo Kikuu ilikuwa ni kwenye Mikoa maarufu ya Dsm,Mbeya,Arusha,Dodoma, Kilimanjaro na Mwanza. Mikoa mingine ilitengwa na...
4 Reactions
61 Replies
1K Views
Jamii nzima ya Tanzania na ulimwengu kwa ujumla mnapaswa kufunguka masikio, kufumbua macho na kusikiliza kwa makini kilio hiki kinachotoka kwenye mioyo ya wale ambao wamesahaulika – Wapagazi...
4 Reactions
15 Replies
906 Views
Wahenga wanasemaga kuwa hapa duniani ogopa Sana teknolojiia na serikali iliyo madarakani. Huu hapa chini ndiyo uhalisia wa MH Katambi.
4 Reactions
19 Replies
560 Views
Yaani CCM hadi leo hawataki kuamini kuwa watu sio wajinga tena kama walivyozoea kutufanya kuwa sisi ni wajinga tu. Inawezekanaje watu wamekamatwa na siraha, wanapewa fedha kila mwezi ili...
5 Reactions
6 Replies
173 Views
Mwigulu na Katambi na wengine wote wa rank za juu ni makatiri. Ndiyo sifa ya sasa kuwa Waziri, PM and the like. Simbachawene alianza vizuri. Wakaona huyu siyo katiri wakamtoa
5 Reactions
8 Replies
155 Views
Shikamoo baba Askofu Bagoza nilivyousikiliza ujumbe wako ulompelekea yule mjaluo haraka sana nikamwonyesha mke wangu ambaye ni shabiki mkubwa mama hadi sasa nimemwacha hapo nyumbani akiangua...
11 Reactions
33 Replies
566 Views
Hili ni kosa kubwa sana wala sio la kulipwa pesa na kuchochea vijana waingie mitaani kufanya uhaini. Sasa inakuwaje tunaambiwa kuwa watu wamewekewa pesa ili kulipa vijana waandamane? Ushahidi wa...
12 Reactions
34 Replies
425 Views
📌 Taarifa ya Kamati itaiwezesha Serikali kuchukua hatua ili tatizo hilo lisijitokeze tena. Waziri wa Nishati, Deogratius J. Ndejembi (Mb.), amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati...
1 Reactions
26 Replies
574 Views
  • Featured
Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi ameagiza wamiliki wa nyumba zote zinazotoa malazi kwa wananchi kuhakikisha zinasajili wageni wote wanapata huduma kwa kutumia kitambulisho...
17 Reactions
115 Replies
3K Views
Watanzania wako tayari kuvumilia ukosefu wa haki na demokrasia lakini hawako tayari kuvumilia ukosefu wa amani, utulivu na usalama. Hii inatokana na ukweli kwamba wamezaliwa, kulelewa na kukulia...
2 Reactions
46 Replies
397 Views
Kutoka akaunti yake ya X. DCI KINGAI AMEJIANDAA KUMKAMATA HECHE KWA UHAINI🙄 Uongozi haramu wa Samia Suluhu kupitia DCI imepangs kufungua kesi ya uhaini dhidi ya John Heche na wamepanga...
17 Reactions
69 Replies
1K Views
Ifike mahali tuanze kuona uwajibikaji nchini kwenye mambo ya aibu kama haya ya National blackout concerning umeme wa gridi ya taifa. Emergency response system ya matatizo ya kimiundombinu kama...
20 Reactions
69 Replies
1K Views
Ziara hii ya siku tatu ya mkoa wa pwani ni kwaajili Yao pekee na sio vyama vingine. CCM ni zaidi ya shetani
1 Reactions
1 Replies
142 Views
UPOTOSHAJI WA MALISA GJ NI WA KUPUUZWA, SINA MPANGO WA KUDAI FIDIA BAADA YA KUSHINDA KESI, MIMI SINA DHIKI YA KISIASA MPAKA NIDAI FIDIA, NINAJITOSHELEZA NA SIASA ZENU NIMEWAA CHIA. Bwana Malisa...
8 Reactions
17 Replies
657 Views
Naomba kuuliza wakuu na nipate majibu ya kistaarabu wimbo wa "Yesu ni Mwamba" unatumiwa na kanisa katoliki?.
25 Reactions
114 Replies
2K Views
Taja watoto wa Rais, au waziri yoyote aliywai kuwa kama Maria Sarungi, Hahahaha Kuna kizee kimoja hapa butimba gerezani kimemtaja, Makongoro Nyerere, sijakishangaa maana kilifungwa miaka ya 1992...
0 Reactions
13 Replies
228 Views
Wewe Mwigulu Nchemba ni muongo sana. Na inavyoelekea, kusema uongo ni asili yako [pathological liar]. Unadanganya kipumbavu sana. Na kufanya hivyo ni moja ya dalili za kuwa pathological liar...
47 Reactions
63 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…