Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, amelituhumu Bunge na Spika kwa kupitisha Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 na bajeti ya Tsh. Trilioni 62.33 bila kufanya mabadiliko yoyote, licha ya uwepo wa...
0 Reactions
2 Replies
183 Views
Kama heading inavyojieleza katibu muenezi wa ccm taifa anatarajiwa kufanya ziara mkoa wa pwani yote ambapo atatembelea KIBAHA,RUFIJI na MKURANGA... yetu macho na masikio ni juzi tu apo waziri...
1 Reactions
4 Replies
401 Views
  • Redirect
Sheikh Mwaipopo: Tuna kundi la vijana 38,000 wanaojiita Mbwa Mwitu. Ukiandamana Sabasaba wanapita na maini yako kwa kauli hii je ulimwengu unapaswa kujua kuwa huyu ndiye mfadhili wa watekaji...
0 Reactions
Replies
Views
Tanzania inapolisi wengiiieeeee? Kuliko raia? Wanakuaga wapi kabla ya vitisho vya maandamano?! CCM na Serikali msipuuze, tafuteni suluhu la kudumu na NJIA ni nyepesi kuweni wakweli, Mfano ahadi...
9 Reactions
30 Replies
520 Views
Kuna wakati unamsikiliza kiongozi mkubwa wa serikali akiongea hadharani, unalazimika kushika kichwa na kujiuliza: hivi hawa watu huwa wanasoma hata vile vitabu wanavyoviasaini au huwa wanaongea...
6 Reactions
13 Replies
214 Views
Kila mtu anaona wanavyohaha, hofu imewajaa mioyoni. Wataua waTanzania tena? Hata kichaa akikabiliwa na hali ya namna hii atajiuliza mara mbilimbili kama kweli akili yake inafanya kazi vizuri...
12 Reactions
14 Replies
318 Views
Bei ya sukari imepaa kutoka wastani wa shs 3000 kwa kilo kufikia elfu tano baadhi ya mikoa ya pembeni. Kila ikifika wakati wa viwanda vya ndani kusimamisha uzalishaji hali hii hujirudia na si...
2 Reactions
8 Replies
247 Views
Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ,Sanaa,, Utamaduni na Michezo, ameshindwa kiaina kujibu tuhuma nzito alizotoa CAG Mstaafu Prof Mussa Assad juu ya Waziri mmoja...
1 Reactions
5 Replies
176 Views
Hii siku nilikuwa na usafiri wangu wa Pikipiki nikielekea Katoro, mara baada ya kuingia mji huo nilikuta watu kadhaa wamekaa kimakundi punde si punde umbali kama wa mita mia tatu niliona gari la...
16 Reactions
28 Replies
478 Views
Ikiwa rais alisema anapunguza milolongo ya misafara yake ili kubana matumizi ya mafuta huu mwenge unakimbizwa kutumia nishati gani? Ni kwa nini katika kipindi cha crisis kama hiki tuendelee...
10 Reactions
27 Replies
509 Views
Mimi ni kijana amabye duka langu la simu mwaka jana lilivunjwa na kuibiwa na hata kupata hasara ya milion hamsini. Kelele za siasa zimeendelea kufanya hata sisi wafanya biashara kutokuweza...
0 Reactions
8 Replies
154 Views
Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani. Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane. Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa...
3 Reactions
31 Replies
511 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema zuio la mikutano ya hadhara halilengi kukiuka misingi ya demokrasia nchini, bali kuimarisha ulinzi na usalama, akisisitiza kuwa...
0 Reactions
4 Replies
178 Views
"Brand ya Wanaume", DC Magoti wa Kisarawe akilalamikiwa vikali baada ya polisi kuvamia nyumba na kuvunja geti. Utaratibu wa ukamataji kwa PGO umezingatiwa? Clip inazunguka mitandaoni.
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema baadhi ya nchi jirani zinachochea machafuko nchini kwa lengo la kudhoofisha uchumi wa Tanzania Vita ya kiuchumi ni kuchocheana nyie...
1 Reactions
33 Replies
515 Views
Wakati CHADEMA wanaelekea kwenye Ofisi ya Mkurugenzi kudai barua za viapo, polisi walivuruga na kuanza kupiga mabomu zikiambatana na risasi za moto kwa wapenzi na wanachama wa CDM eneo la...
77 Reactions
1K Replies
143K Views
CCM imeshatutosha ni miaka 49 iliyopo nayo haija letea Tanzania chochote ni mateso na ugandamizaji wa haki za kibinadamu
3 Reactions
6 Replies
123 Views
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026, amesema chama hicho kinna madeni...
0 Reactions
8 Replies
421 Views
Ukimsikiliza Museveni na mtoto wake kusema wanaharakati wanajificha kwenye nchi za watu waharibu nchi. Nimebidi kushangaa maana kauli kama hizi zina fanana kauli za hapa kwetu. Sasa kama...
3 Reactions
0 Replies
78 Views
Back
Top Bottom