WAKATI TUNASOMA, WAALIMU WALIFUNDISHA; FUATA KILICHOKULETA. UMEKUJA PEKEAKO UTAONDOKA PEKEAKO. WALIFUNDISHA WOGA NA UTENGANO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Ukiachana na Dini ambayo imetumika...
Kuna watu Wanahisi kwamba Samia Hassan au CCM wanaweza kumuondolea Ulinnzi Emmanuel Nchimbi.
Hawana ubavu huo kwani analimdwa na Katiba.
Sio yeye tu anapata ulinzi, bali yeye na watu wake wa...
Hapa ndipo dodoso linaanza kugusa moja kwa moja credibility ya ushahidi na value ya vielelezo.
Katuga anaonekana kujaribu kumfunga Lissu kwenye admissions alizokwisha kuzitoa wakati wa...
Mapema mwezi Januari 2026, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, alisema Wizara ilipatiwa kiasi cha Shilingi bilioni 2 ambacho kingewawezesha watengenezaji wa maudhui...
Sijui kama Nchimbi alikuwa amejiandaa kukabiliana na dhahma ambazo zinaweza kumkuta baada ya kufukuzwa kutoka CCM na kuachia madaraka haramu aliyokuwa nayo.
Hapa nawaza tu kama labda...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Jaji Shaban Ally Lila, amewaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuwa...
Kwahiyo wale wanaotilia shaka Uislam wa Ndejembi hawana Mashiko
Ambacho Sina Hakika nacho ni kuhusu Rais na Makamu wake kutokea Upande mmoja wa Muungano kama kinaruhusiwa Kikatiba, hapa labda...
Alituasa Nyerere:
“Ukishakula nyama ya mtu, hutaacha kuila”
Huyu Samuya huyu, bila shaka mwanae kamroga; hana soni wala haya usoni kwake. Baada ya wiki 2 tutaanza kuimba, BRING BACK NCHIMBI.
Tanzania = Tanganyika + Zanzibar 🙏
• Mke wa Mwl, Julius K. Nyerere, Maria Nyerere.
• Wake wa Ali H. Mwinyi, Sitti na Khadija Mwinyi.
• Mke wa Benjamin W. Mkapa, Anna Mkapa
• Mke wa Jakaya M...
Naona ni kama hawa wanatucheza au kutuosha.
Sioni jipya wala la maana.
Kila kitu kimefanyika kiCCMCCM.
Wananchi wajiepushe kuingia mtego wa karata tatu.
Wote ni wasanii na wananchi ni walengwa...
Mimi sio mnafiki na sitokuwa kamwe, nauliza Leo Emanuel Nchimbi ni mbaya kuliko Samia ccm?
Nalia nalia nalia hapa DODOMA kumepoa hata kama wametoa makamu!
In Quest of my orign and my ancenstral scanning using Artificial Intelligence (AI) I tried to inquest a lot and understand who the hell I am.
In such a quest and wandering I discovered a lot...
Kauli kama hizi zinalipasua Taifa kuanzia kwenye chama chenyewe yaani ndani ya ccm.
Hata kama VP amewachiwa ngazi lkn haileti afya kumuita kuwa yeye ni nyoka Haya maneno yanatamkwa na kiongozi...
Kutokana na sintofahamu inayoendelea na kufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Mh. Emmanuel NCHIMBI, duru zinaonyesha mwenye nafasi kubwa ya kuchukua kijiti basi ni kijana wetu Deogratius Ndejembi
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu hali ya kisiasa nchini na kile kinachoitwa maridhiano. hali hii imenifanya nitafakari jambo hili kwa muda mrefu na kuona nitoe maoni yangu kwenye forum hii ili...
Sasa, najiuliza - kwa kosa gani?
Kuna kutokubaliana, na mwenzako akaamua kukaa kando. Dawa ni kumdhibiti kabisa?
Itazaa matunda? Matunda gani hasa?
Wanajua kuwa kuna kundi kubwa zaidi?
Kwa namna yoyote ile Hayati John Pombe Magufuli hakukubali kufanya kazi na watu wasio na uwezo.
Alimuibua Deo Ndenjembi huko kongwa..
Kilichofuatia ni historia
Kwamba CCM ni zaidi ya mtu mmoja kama ilivyokuwa zamani wakati wa chama kimoja. Kipindi hicho watu walilazimishwa kuzikubali fikra za mwenyekiti hata kama hazifai.
Leo hii kila Mtanganyika anajua...
Ni ahadi naiona ikitimia. Walianza njia ya kuwatoa ni kuwapeleka ubalozini kama nchimbi na polepole soon mtawekwa kizuizini kama VP au kusikojulikana kama polepole joka limechoka kunywa damu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.