Watanzania wanataka amani na maendeleo sio demokrasia

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,727
Reaction score
17,224
Watanzania wako tayari kuvumilia ukosefu wa haki na demokrasia lakini hawako tayari kuvumilia ukosefu wa amani, utulivu na usalama. Hii inatokana na ukweli kwamba wamezaliwa, kulelewa na kukulia kwenye familia, mitaa, jamii na taasisi ambazo hazitoi haki wala demokrasia.

Mfano, kuna jamii ambazo watoto wanavumilia kunyimwa haki ya kurithi mali kama ardhi za wazazi wao kwa visingizio vya kipuuzi kabisa lakini wapo tu wanadunda.

Nchi kama China, NKorea, Cuba na Urusi hakuna demokrasia ya magharibi lakini kwao sio tatizo.

Naunga mkono wazo la kuzuia harakati za kisiasa nchini baada ya uchaguzi kwisha kama vile nchi iko kwenye kampeni za uchaguzi tena. Hata Ulaya na Marekani uchaguzi ukishamalizika huwa hawafanyi siasa za kuzunguuka nchi nzima kwa mikutano ya hadhara.

Ningeishangaa serikali kama ingeruhusu vurugu za siasa mikoani nchi nzima kama vile kuna uchaguzi mwingine October 2026. Wacha wananchi wafanyekazi za uzalishaji mali badala ya kukumbana na misafara na kelele za wanasiasa.

Mungu mbariki Katambi.
 
Utter nonsense! Who told you?
 
Ikishafika muda wa mabadiliko umefika tu, hata ujitengenezee nadharia za kujilinda bado huwezi kuzuia mabadiliko. Mbona mikutano ya kidini inafanyika nchi nzima tena kwa mfanano huo huo wa mikutano ya kisiasa? Sema tu mikutano ya kisiasa inadhihrisha kuwa wananchi hawakitaki chama kilichopora chaguzi, na kufanya mauaji.
 
Watanzania wako tayari kuvumilia ukosefu wa haki na demokrasia lakini hawako tayari kuvumilia ukosefu wa amani, utulivu na usalama. Hii inatokana na ukweli kwamba wamezaliwa, kulelewa na kukulia kwenye familia, mitaa, jamii na taasisi ambazo hazitoi haki wala demokrasia.

Mfano, kuna jamii ambazo watoto wanavumilia kunyimwa haki ya kurithi mali kama ardhi za wazazi wao kwa visingizio vya kipuuzi kabisa lakini wapo tu wanadunda.

Nchi kama China, NKorea, Cuba na Urusi hakuna demokrasia ya magharibi lakini kwao sio tatizo.

Naunga mkono wazo la kuzuia harakati za kisiasa nchini baada ya uchaguzi kwisha kama vile nchi iko kwenye kampeni za uchaguzi tena. Hata Ulaya na Marekani uchaguzi ukishamalizika huwa hawafanyi siasa za kuzunguuka nchi nzima kwa mikutano ya hadhara.

Ningeishangaa serikali kama ingeruhusu vurugu za siasa mikoani nchi nzima kama vile kuna uchaguzi mwingine October 2026. Wacha wananchi wafanyekazi za uzalishaji mali badala ya kukumbana na misafara na kelele za wanasiasa.

Mungu mbariki Katambi.
Uko sawa ? au Weekend umeshatumia kilevi tukusamehe !
 
Umefanya utafiti ukagundua watanzania hawahitaji haki?
Wewe nikikupiga kibao na nisichukuliwe hatua za kisheria utakuwa na amani?.
Haki ndio msingi mkuu wa amani.
Anayebisha ama ana tatizo la kiakili au ana maslahi binafsi.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Watanzania wako tayari kuvumilia ukosefu wa haki na demokrasia lakini hawako tayari kuvumilia ukosefu wa amani, utulivu na usalama. Hii inatokana na ukweli kwamba wamezaliwa, kulelewa na kukulia kwenye familia, mitaa, jamii na taasisi ambazo hazitoi haki wala demokrasia.

Mfano, kuna jamii ambazo watoto wanavumilia kunyimwa haki ya kurithi mali kama ardhi za wazazi wao kwa visingizio vya kipuuzi kabisa lakini wapo tu wanadunda.

Nchi kama China, NKorea, Cuba na Urusi hakuna demokrasia ya magharibi lakini kwao sio tatizo.

Naunga mkono wazo la kuzuia harakati za kisiasa nchini baada ya uchaguzi kwisha kama vile nchi iko kwenye kampeni za uchaguzi tena. Hata Ulaya na Marekani uchaguzi ukishamalizika huwa hawafanyi siasa za kuzunguuka nchi nzima kwa mikutano ya hadhara.

Ningeishangaa serikali kama ingeruhusu vurugu za siasa mikoani nchi nzima kama vile kuna uchaguzi mwingine October 2026. Wacha wananchi wafanyekazi za uzalishaji mali badala ya kukumbana na misafara na kelele za wanasiasa.

Mungu mbariki Katambi.
Unaweza ukatueleza ni nini maana ya vurugu?Je,kuna vurugu ipi imetokea katika mikutano ya vyama vya siasa hadi imekuwa tishio kwa nchi?
 
Watanzania wako tayari kuvumilia ukosefu wa haki na demokrasia lakini hawako tayari kuvumilia ukosefu wa amani, utulivu na usalama. Hii inatokana na ukweli kwamba wamezaliwa, kulelewa na kukulia kwenye familia, mitaa, jamii na taasisi ambazo hazitoi haki wala demokrasia.

Mfano, kuna jamii ambazo watoto wanavumilia kunyimwa haki ya kurithi mali kama ardhi za wazazi wao kwa visingizio vya kipuuzi kabisa lakini wapo tu wanadunda.

Nchi kama China, NKorea, Cuba na Urusi hakuna demokrasia ya magharibi lakini kwao sio tatizo.

Naunga mkono wazo la kuzuia harakati za kisiasa nchini baada ya uchaguzi kwisha kama vile nchi iko kwenye kampeni za uchaguzi tena. Hata Ulaya na Marekani uchaguzi ukishamalizika huwa hawafanyi siasa za kuzunguuka nchi nzima kwa mikutano ya hadhara.

Ningeishangaa serikali kama ingeruhusu vurugu za siasa mikoani nchi nzima kama vile kuna uchaguzi mwingine October 2026. Wacha wananchi wafanyekazi za uzalishaji mali badala ya kukumbana na misafara na kelele za wanasiasa.

Mungu mbariki Katambi.
uko sahihi gentleman kwa 100%

well done 🔥
 
Kuzuia mikutano ya siasa ni kuzuia demokrasia mlioapa kuilinda.Kama chama kinafanya mikutano kwa mujibu wa sheria,shida iko wapi? Nanyi vyama vya upinzani tumieni muda vizuri kwa kuelezea Sera mbadala kutatua matatizo yanayoikumba nchi kwa miaka yote badala ya kuzungumzia ubovu wa mtu.
 
Watanzania wako tayari kuvumilia ukosefu wa haki na demokrasia lakini hawako tayari kuvumilia ukosefu wa amani, utulivu na usalama. Hii inatokana na ukweli kwamba wamezaliwa, kulelewa na kukulia kwenye familia, mitaa, jamii na taasisi ambazo hazitoi haki wala demokrasia.

Mfano, kuna jamii ambazo watoto wanavumilia kunyimwa haki ya kurithi mali kama ardhi za wazazi wao kwa visingizio vya kipuuzi kabisa lakini wapo tu wanadunda.

Nchi kama China, NKorea, Cuba na Urusi hakuna demokrasia ya magharibi lakini kwao sio tatizo.

Naunga mkono wazo la kuzuia harakati za kisiasa nchini baada ya uchaguzi kwisha kama vile nchi iko kwenye kampeni za uchaguzi tena. Hata Ulaya na Marekani uchaguzi ukishamalizika huwa hawafanyi siasa za kuzunguuka nchi nzima kwa mikutano ya hadhara.

Ningeishangaa serikali kama ingeruhusu vurugu za siasa mikoani nchi nzima kama vile kuna uchaguzi mwingine October 2026. Wacha wananchi wafanyekazi za uzalishaji mali badala ya kukumbana na misafara na kelele za wanasiasa.

Mungu mbariki Katambi.
Maneno kuntu kabisa kutoka kwa mzalendo wa kweli. Naongezea, hata kama hao ulaya na marekani wangekuwa wanafanya hivyo, Bado sisi tuna uhuru wetu wa kuamua. Wananchi waachiwe walime na kuuza mazao yao kwanza......siasa baadae.
 
Watanzania wako tayari kuvumilia ukosefu wa haki na demokrasia lakini hawako tayari kuvumilia ukosefu wa amani, utulivu na usalama. Hii inatokana na ukweli kwamba wamezaliwa, kulelewa na kukulia kwenye familia, mitaa, jamii na taasisi ambazo hazitoi haki wala demokrasia.

Mfano, kuna jamii ambazo watoto wanavumilia kunyimwa haki ya kurithi mali kama ardhi za wazazi wao kwa visingizio vya kipuuzi kabisa lakini wapo tu wanadunda.

Nchi kama China, NKorea, Cuba na Urusi hakuna demokrasia ya magharibi lakini kwao sio tatizo.

Naunga mkono wazo la kuzuia harakati za kisiasa nchini baada ya uchaguzi kwisha kama vile nchi iko kwenye kampeni za uchaguzi tena. Hata Ulaya na Marekani uchaguzi ukishamalizika huwa hawafanyi siasa za kuzunguuka nchi nzima kwa mikutano ya hadhara.

Ningeishangaa serikali kama ingeruhusu vurugu za siasa mikoani nchi nzima kama vile kuna uchaguzi mwingine October 2026. Wacha wananchi wafanyekazi za uzalishaji mali badala ya kukumbana na misafara na kelele za wanasiasa.

Mungu mbariki Katambi.
Hakuna amani , hakuna maendeleo unyanyasaji ,utekaji na uuaji ndio ulio tamalaki kwa wingi
 
Chawa mnakula kwa shida sana zamu hii jinsi mamaduro wenzake wanavobofoa, wanawachosha sana kuwasafisha kwa mtandao aisee
 
Watanzania wako tayari kuvumilia ukosefu wa haki na demokrasia lakini hawako tayari kuvumilia ukosefu wa amani, utulivu na usalama. Hii inatokana na ukweli kwamba wamezaliwa, kulelewa na kukulia kwenye familia, mitaa, jamii na taasisi ambazo hazitoi haki wala demokrasia.

Mfano, kuna jamii ambazo watoto wanavumilia kunyimwa haki ya kurithi mali kama ardhi za wazazi wao kwa visingizio vya kipuuzi kabisa lakini wapo tu wanadunda.

Nchi kama China, NKorea, Cuba na Urusi hakuna demokrasia ya magharibi lakini kwao sio tatizo.

Naunga mkono wazo la kuzuia harakati za kisiasa nchini baada ya uchaguzi kwisha kama vile nchi iko kwenye kampeni za uchaguzi tena. Hata Ulaya na Marekani uchaguzi ukishamalizika huwa hawafanyi siasa za kuzunguuka nchi nzima kwa mikutano ya hadhara.

Ningeishangaa serikali kama ingeruhusu vurugu za siasa mikoani nchi nzima kama vile kuna uchaguzi mwingine October 2026. Wacha wananchi wafanyekazi za uzalishaji mali badala ya kukumbana na misafara na kelele za wanasiasa.

Mungu mbariki Katambi.
Hayo maendeleo mnayo wadanganyia ni haya ya nyinyi wahuni wachache kujimilikisha nchi kwa nguvu, na pia kujilimbikizia mali! au kuna maendeleo mengine?
 
Ni idadi ngapi ya Watanzania wanaishi Survival mode?

Ukijua Hilo tu utajua kuwa Maandamano hayawezi kufanikiwa hata kidogo.

Watu ambao hawana uhakika wa kula mpaka watoke wakafanye kazi , jiulize how they gonna survive wakiandamana.
 
Watanzania wako tayari kuvumilia ukosefu wa haki na demokrasia lakini hawako tayari kuvumilia ukosefu wa amani, utulivu na usalama. Hii inatokana na ukweli kwamba wamezaliwa, kulelewa na kukulia kwenye familia, mitaa, jamii na taasisi ambazo hazitoi haki wala demokrasia.

Mfano, kuna jamii ambazo watoto wanavumilia kunyimwa haki ya kurithi mali kama ardhi za wazazi wao kwa visingizio vya kipuuzi kabisa lakini wapo tu wanadunda.

Nchi kama China, NKorea, Cuba na Urusi hakuna demokrasia ya magharibi lakini kwao sio tatizo.

Naunga mkono wazo la kuzuia harakati za kisiasa nchini baada ya uchaguzi kwisha kama vile nchi iko kwenye kampeni za uchaguzi tena. Hata Ulaya na Marekani uchaguzi ukishamalizika huwa hawafanyi siasa za kuzunguuka nchi nzima kwa mikutano ya hadhara.

Ningeishangaa serikali kama ingeruhusu vurugu za siasa mikoani nchi nzima kama vile kuna uchaguzi mwingine October 2026. Wacha wananchi wafanyekazi za uzalishaji mali badala ya kukumbana na misafara na kelele za wanasiasa.

Mungu mbariki Katambi.
Hata Muamar Gagafi alikuwa na mawazo ya kipuuzi kama wewe

Wananchi wake wenyewe wakumuulia kwenye mitaro michafu
 
Una uhakika Ulaya huko huwa hakuna Mikutano ya vyama vya Siasa baada ya Chaguzi au unahisi tu ???
 
Watanzania wako tayari kuvumilia ukosefu wa haki na demokrasia lakini hawako tayari kuvumilia ukosefu wa amani, utulivu na usalama. Hii inatokana na ukweli kwamba wamezaliwa, kulelewa na kukulia kwenye familia, mitaa, jamii na taasisi ambazo hazitoi haki wala demokrasia.

Mfano, kuna jamii ambazo watoto wanavumilia kunyimwa haki ya kurithi mali kama ardhi za wazazi wao kwa visingizio vya kipuuzi kabisa lakini wapo tu wanadunda.

Nchi kama China, NKorea, Cuba na Urusi hakuna demokrasia ya magharibi lakini kwao sio tatizo.

Naunga mkono wazo la kuzuia harakati za kisiasa nchini baada ya uchaguzi kwisha kama vile nchi iko kwenye kampeni za uchaguzi tena. Hata Ulaya na Marekani uchaguzi ukishamalizika huwa hawafanyi siasa za kuzunguuka nchi nzima kwa mikutano ya hadhara.

Ningeishangaa serikali kama ingeruhusu vurugu za siasa mikoani nchi nzima kama vile kuna uchaguzi mwingine October 2026. Wacha wananchi wafanyekazi za uzalishaji mali badala ya kukumbana na misafara na kelele za wanasiasa.

Mungu mbariki Katambi.
Illiterate chawa with zero exposure, hizo nchi ulizozitaja tunahangaika nao huku kwa mabeberu yaani wamejazana kama nyenyere(sisimizi) na hawatakaki kabisa kurudi kwa kuwa wameshaonja raha za kuishi kwa uhuru.
Tembea ujionee dunia ilivyo, hiyo elimu(brainwashing) mnayopewa na wenyeviti wenu huko vijijini kwenu it's sadly contrasting reality.
 
Watanzania wako tayari kuvumilia ukosefu wa haki na demokrasia lakini hawako tayari kuvumilia ukosefu wa amani, utulivu na usalama. Hii inatokana na ukweli kwamba wamezaliwa, kulelewa na kukulia kwenye familia, mitaa, jamii na taasisi ambazo hazitoi haki wala demokrasia.

Mfano, kuna jamii ambazo watoto wanavumilia kunyimwa haki ya kurithi mali kama ardhi za wazazi wao kwa visingizio vya kipuuzi kabisa lakini wapo tu wanadunda.

Nchi kama China, NKorea, Cuba na Urusi hakuna demokrasia ya magharibi lakini kwao sio tatizo.

Naunga mkono wazo la kuzuia harakati za kisiasa nchini baada ya uchaguzi kwisha kama vile nchi iko kwenye kampeni za uchaguzi tena. Hata Ulaya na Marekani uchaguzi ukishamalizika huwa hawafanyi siasa za kuzunguuka nchi nzima kwa mikutano ya hadhara.

Ningeishangaa serikali kama ingeruhusu vurugu za siasa mikoani nchi nzima kama vile kuna uchaguzi mwingine October 2026. Wacha wananchi wafanyekazi za uzalishaji mali badala ya kukumbana na misafara na kelele za wanasiasa.

Mungu mbariki Katambi.
You are sick in the head.
 
Back
Top Bottom