Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Zaidi sana wanataka hela tu, ni Aibu sana kuwa na Wamama kama hawa. Aibu sana kwa Watoto wao kuwa na wamama kama hawa
1 Reactions
10 Replies
711 Views
Mbunge wa Jimbo la Buchosa Eric Shingongo amesema baada ya bunge kuvunja tarehe 27 June mwaka huu basi yeye tarehe 28 June, 2025 ataenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Buchosa kwa...
0 Reactions
6 Replies
631 Views
Hemed Shabani Nkunya, Mfanyabiashara na Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Fedha wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mbweni Mpiji mkoani Dar es Salaam ametia nia ya kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kawe...
0 Reactions
0 Replies
393 Views
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi wilaya ya Same, Miriam Mjema amechukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya chama cha Mapinduzi kuwania Ubunge katika Jimbo la Same mashariki wilayani...
1 Reactions
1 Replies
486 Views
Waziri mkuu mstaafu Raila Odinga amezindua mradi wa ujenzi wa Kinu cha Nyuklia na kusema utakuwa na faida kubwa kwa Africa mashariki Odinga amesema kwa sasa gharama za uzalishaji ni kubwa...
1 Reactions
16 Replies
540 Views
Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Kilosa kimetoa onyo kwa wagombea wa nafasi ya Udiwani na Ubunge ndani ya Chama hicho kutojihusisha na Vitendo vya rushwa kwani ni kosa kufanya hivyo. Wito huo...
1 Reactions
8 Replies
501 Views
https://youtu.be/_H_J4RBBW0c?si=UC-OvfI0SGwaIVqo My Take 😂😂😂
15 Reactions
55 Replies
2K Views
Waziri wa maji Juma Aweso naye amechukua fomu ya ubunge jimbo la Pangani kutetea nafasi yake tena katika kipindi kingine cha miaka 5 ijayo Ninamshukuru sana Mungu kwa kunipa kibali; Nimechukua...
1 Reactions
0 Replies
276 Views
Naona sasa huu umekuwa utani Namshukuru Mwenyezi MUNGU ,Rasmi nimetia ya kugombea Nafasi ya Ubunge jimbo la MBAGALA !! Wana Mbagala mimi ni mwenenu naombeeni mnipokee kwa mikono miwili
0 Reactions
0 Replies
250 Views
Mhandisi wa masuala ya Ujenzi na Kada wa Chama Cha Mapinduzi CCM Injinia Germano Barnabas Ngusa ,amejitosa kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge katika Jimbo la Nzega Vijijini...
0 Reactions
7 Replies
772 Views
Ndugu zangu najaribu kuwaza kwa sauti baada ya mchakato wa chama cha mapinduzi wa kuchukua form kuanza leo, nimeona mambo ambayo yanatafakarisha sana. KUmekua na wimbi kubwa la watu maarufu...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Wakuu JF wana Yanga na wa Tanzania wote kwa Ujumla wenye Mapenzi mema na nchi yetu Amani ya Mungu wetu ikae nanyi Daima. Niweke wazi in advance kuwa mimi ni Mtanzania, shabiki wa Yanga na ni...
3 Reactions
8 Replies
748 Views
Joffrey Mwankenja mkazi wa Chunya Mkoani Mbeya amejitokeza ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya leo Juni 28 kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Lupa. Kupata...
0 Reactions
1 Replies
371 Views
Habari Wakuu, Ili kuzifikia nyuzi hizi kirahisi, hapa utapata orodha yote ya mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kwenye ushiriki wa Uchaguzi Mkuu 2025, ambamo ndani yake utapata links za matukio...
4 Reactions
17 Replies
18K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo jipya la Uyole, mkoani Mbeya. Kupata matukio na taarifa zote...
1 Reactions
3 Replies
524 Views
Habari zenu wakali, kichwa cha habari chajieleza ningependa kujuzwa bunge la 12 la jamhuri ya muungano wa TZ lilipangwa kuvunjwa tarehe 27/6/2025 lakini mwenye mamlaka kikatiba kuvunja bunge Rais...
0 Reactions
1 Replies
440 Views
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Mhandisi Dkt. Samuel Gwamaka Mafwenga ambaye pia ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amechukua Fomu ya...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
Rais wa JMT anayarajiwa kuzindua rasmi kiwanda kikubwa zaidi Cha Kuzalisha Mbolea Tanzania na Afrika Mashariki. Rais Samia ataambatana na mgeni wake Rais wa Burundi kwenye uzinduzi wa kiwanda...
0 Reactions
3 Replies
435 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA – Bara, John Heche ametoa wito kwa Mahakama kutumia Vyumba vikubwa wakati wa mchakato wa kesi ambayo Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu ameifungua katika...
0 Reactions
2 Replies
786 Views
Wakuu! Mtoto wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Jesca Magufuli anatajwa kuwa ni Miongoni mwa wanaotaka kugombea Ubunge kwenye Jimbo la Chato, Geita.
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Back
Top Bottom