Utavuna ulichopanda ×2
Kiitikio
Ulichopanda×2,Utavuna!
Wananchi tusidanganyike na vitenge, vyakula,pesa nk
Kama mmbunge aliyopo madarakani,hajafanya lolote kwenye Jimbo lake mbali na msukumo wa...
Mtangazaji wa Ileje Fm na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) wilaya ya Ileje Diana Ngabo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea udiwani viti maalumu...
Jisomee Mwenyewe halafu Toa maoni yako
======
Lengo la kukuletea Makala hizi ni kukuonyesha ama labda kukumbusha kwamba ni vema ukamfadhili Mbuzi maana iko siku aweza kukufaa kama si kwa...
Wakuu kwa wale mliokuw amnasubiri kwa hamu kujitosa kwenye ubunge na udiwani kupitia CHAUMMA ni wakati wenu sasa. Fomu zitaanza kutolewa kuanzia Julai 1, 2025 katika ofisi mbalimbali za chama...
Tusitake kupamba lugha. Sasa iko wazi kwamba Ukristu unachukiwa na viongozi wakuu wa nchi hii. Tumeanza na kupiga vita vyama vya kisiasa vinavyoongozwa na wakristu na kuinua kwa makusudi...
Maoni ya Mchambuzi wa Siasa, Said Miraji kuhusu Mchakato wa Uchaguzi wa Wagombea ndani ya Chama, alitoa maoni hayo Aprili 22, 2022 alipohojiwa katika Kituo cha Redio cha Bongo FM.
"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (RIP).
Ingawa najua kuna...
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya MASHILI COMPANY LIMITED ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mradi wa Uchenjuaji Dhahabu wa (Matinje Mining, Msilale Mining na Igurubi Mining) Ndg Peter Andrea...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na TPSF, Francis Nanai amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Busega mkoani Simiyu.
Nanai amekabidhiwa fomu...
Askofu Josephat Gwajima akiwa na walinzi wake aenda kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya WanaCCM kumteua tena kugombea ubunge wa jimbo la Kawe.
======
Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck...
Wakuu
Vyama vya siasa ACT Wazalendo, CHAUMMA, na wengine ambao mnashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mmesikia kauli ya Rais Samia?
Rais Samia wakati wa kuhitimisha shughuli za bunge la 12 la...
Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eng. Salehe Ziota amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Igunga Mkoa wa Tabora kupitia tiketi ya CCM.
Ziota...
Karibu tujadili wadau hapa tusiongelee matajiri wa kurithi au uongozi wa kurithi , kati ya kiongozi ambaye anategemea uongozi kama ajira apate chochote na kiongozi ambaye anajiweza kiuchumi/tajiri...
Wakuu salam.
Aliyepo Juu ana akisi kwa kiasi kikubwa walio chini yake.
Kama nafasi ya Urais imekuwa nyepesi kwa jinsi inavyoonekana, tunawezaje kuanza kushangaa kuwaona kina Baba, Levo, Mwijaku...
Ikiwa kweli una utimamu wa akili, madaraka ya kisiasa siyo jambo la kukimbilia kama hauna dhamira ya dhati ya kutumikia jamii yako.
Uongozi ni kuacha alama, kuwaongoza watu waweze kufikia...
Siku zote wanasiasa wasio na ushawishi KWA wananchi wamekuwa wakitumia wasanii kutafuta mfuto na kukubalika.
Nawashukuru wasanii KWA kugundua kumbe wao ndio sababu ya watu kupata kura, wamehamia...
HELLO JF
Wiki hii kumekuwa na wimbi kubwa la watu maarufu na matajiri kukimbilia kuchukua fomu za kugombea ubunge, jambo lililoibua mijadala mitandaoni huku wengi wakiuliza: "Kuna siri gani...
Mimi nafanya kazi za serikali.
Nalipa kodi zote, iwe za TRA, NSSF, WCF, OSHA,FIRE, WMA, Weights and Measures, Hali ya Hewa, City Levy,
Achana na kodi za maisha kama Fuel Levies, Umeme, Kodi ya...
Ikiwa ni dakika za lala salama kwa wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mbunge wa Jimbo la Hai Mhe. Saashisha Mafuwe amekutana na kufanya kikao na waalimu wa Shule za Msingi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.