Naona bora niitafute akhera yangu badala ya kuitafuta dunia zaidi.
Nikiwa mbunge nitakosa muda wa kumtumikia muumba wangu badala yake nitamikia chama changu.
Mtume (s.a.w) amesema:
"Dunia ni...
Mbunge wa Jimbo la Lupembe anayemaliza Muda wake Edwin Swalle amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Lupembe.
Swalle amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumamosi Juni 28, 2025 na Katibu wa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, ametoa onyo kali kwa baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wenye...
Tangu aingie madarakani baada ya kifo cha bwana yule, sijawahi kumsikia alikemea au akimtumbua mtu kwa sababu ya ufisadi.
Katika awamu yake ufisadi umeshamiri sana. Kila mteule wake kwa sasa ni...
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Njombe Bwana Aloyce Mwenda amechukua fomu kuomba ya Ubunge katika Jimbo la Lupembe.
Bwana Mwenda amesema Yupo tayari kuwatumikia Wananchi wa Jimbo La...
Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekamilisha rasmi shughuli zake tarehe 27 Juni 2025 kwa Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia. Bunge hilo litavunjwa rasmi Agosti 03, 2025...
Wakuu!
Imagine miaka 64 ya Uhuru, bado Khanga na Baiskeli ndio chambo katika Uvuvi wa Kisiasa na kutoa Kura kirahisi tu.
Uchaguzi unapokaribia mbinu za kisiasa zinaongezeka, zikiwemo zawadi kwa...
Aliyekuwa Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge wa Jimbo la Mtumba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akieleza kuwa endapo atapata...
Mwandishi wa habari wa channel ten Adam Malima amechukua form ya kuwania kuteuliwa na chama cha mapinduzi CCM kugombea ubunge wa jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma.
Adam Malima ambae ni mzaliwa...
Siasa za nchi zinachekesha. Kwa mara ya kwanza toka mfumo wa vyama vingi Baraza la wawakilishi na Bunge la Tanzania hayajavunjwa. Zanzibar Baraza la wawakilishi litavunjwa August 13. Wakati Bunge...
Sasa ni dhahiri kila jambo tulifikirie kabla ya kulaumu Polisi. Hata Kenya wakati mchungaji Makenzi akiua waumini, watu waliaminishwa kwamba Polisi walikuwa wanawateka.
Haya sasa, taasisi ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amewataka Watanzania kutozitilia maanani na kuzipuuza habari zinazosambaa mitandaoni kwamba, amefukuzwa kwenye nyumba yake iliyopo...
Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Pius Chatanda (MCC) tarehe 27 Juni, 2025 amewataka Wanawake wote Nchini Tanzania kuitumia fursa hii ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kujitokeza Kwa wingi kwenda...
Mshauri wa Rais, Dkt. Fabian Madele amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea jimbo la Dodoma Mjini.
Leo chama hicho kimefungua pazia kwa makada wake...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla,
"Tafadhalini sana, tusitumike vibaya, sisi viongozi ukiingia kwenye Chama cha...
"Umesema kuhusu wakuu wa mikoa, wakurugenzi, Makatibu Wakuu. Nimeona watu wengi wameacha kazi hadi Makatibu wakuu. Nataka kuwaambia na sema uwazi. Ubunge sio kama watu wanavyotafakari. Watu...
Baadhi ya viongozi nchini Tanzania wameanza kuchukua fomu za kugombea ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Miongoni mwa waliotangaza nia hiyo ni Rais wa...
Hakika kazi imeendelea.
Leo muda wa Mchana wa Saa nane Tanzania imeendelea kuweka historia.
Treni ya mwendokasi maarufu kama S.G.R imeanza kutoa huduma za kubeba mizigo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.