Kijana mwenye umri wa miaka 28, Ally Ngualo, mkazi wa Naipanga katika Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi, ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Nachingwea katika uchaguzi mkuu ujao...
Habari wakuu,
Kesho tarehe 2/07/2025 ninatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Ruangwa mkoa wa Lindi.Nitachukua na kurudisha...
Kiukweli mtu aliyechungulia kaburi kama huyu Tundu Lisu kuwa na Ujasiri wa kiwango hiki ni jambo la aina yake
Fikiria alipopigwa risasi alikumbuka matukio yote hadi wale waliombeba kwenye...
Habari...
Nimeamini pasi na shaka Mahakama ya Tanzania haipo huru ipo chini ya amri ya mtu nyuma yake.
" Hakika kama Mahakama ya kutoa haki haipo huru basi watanzania wote hatupo salama...
Kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani Tundu Lissu imefikia patamu na kwenye hatua ya muhimu sana
Iwapo DPP ataamua kuendelea na kesi, taratibu za kuhamisha shauri zitaanza katika Mahakama...
Kesi inayomkabili Mheshimiwa Tundu Lissu kwa mara nyingine tena mbele ya Mahakama ya Tanzania inazua hoja nzito kuhusu matumizi ya sheria kwa malengo ya kisiasa badala ya haki. Hii ni kwa sababu...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, katika hawa Wabunge Wasaliti na Mamluki walioitwa COVID 19, Ambao sasa wanachukua fomu za ubunge kupitia ccm ili kugombea kwenye uchaguzi ambao hautakuwepo...
Kituo cha haki za binadamu LHRC kutoa msaada wa dhamana kwa watanzania wasio na hatia kunyimwa haki yao ya kuabudu kunachafua taswira zaidi ya nchi.
Ni wazi kuzuiwa kwa mamia ya watanzania...
Hiyo itatoa muda muafaka kwa Kila upande kujiandaa na hivyo kutoa hukumu kwa muda muafaka. Nikiongezea hapo, nashauri hii kesi ya uhaini inayoendelea ikamilike ifikapo mwezi wa nne (Aprili)...
Mimi ndugu Suphian Juma Nkuwi, kada mtiifu wa chama cha Mapinduzi,CCM na Mkurugenzi wa Shirika la TAA linaloratibu kampeni ya kupanda miti mkoa mzima wa Singida iitwayo SINGIDA MPYA YA KIJANI...
MBUNGE wa Jimbo la Kalenga anayemaliza muda wake Jackson Kiswaga ametoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula kwa Watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Watoto yatima Tosamaganga kilichopo...
Fikiria kwamba;
1. Watangazaji nchi hii asilimia 99.999 ni CCM
2. Viongozi wa vyama vya wafanyakazi wote ni CCM
3. Waimba tarabu asilimia 100 ni CCM
4. Wanamuziki asilimia 99 ni CCM
5. Wiamba...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Songwe kupitia CHADEMA ambaye hivi karibuni alitangaza kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM), Bi.Stella Fiyao, amechukua fomu ili kuomba ridhaa ya kugombea...
Lissu akomae tu najua tarehe 15 lazima ipelekwe mahakama kuu na huko kajitetee mwenyewe ili tuone jinsi mfumo unavyovuliwa nguo nakuamini baba mtangulize kibatala awakorogee alafu umalizie.
2020 kulikuwa na uchaguzi mkuu (hapana, uchafuzi mkuu ) uliowaingiza bungeni watu wasiofaa kuwa hata mabalozi wa nyumba kumi.
Hawatambui hadhi yao,
Hawatambui majukumu yao,
Hawajui chochote...
CHADEMA tumekataa kuwa sehemu ya uchaguzi wenye unajisi, na tunahisii serikali ifanye mabadiliko kwenye mifumo ya uchaguzi, lakini pia tunashambuliwa kila upande mahakamani, ofisi ya msajili...
IN FULL SPIRIT OF PATRIOTISM
I'm what I'm and always have been. A militant and uncompromising crusader for rights, justice and truth.
I've always stood on the side of the people against the...
Kupitia Lissu nimekuwa inspired Sana kuhakikisha tunasomesha Sana watoto wetu katika Shule bora na kuwatafutia Exposure.
Maana jamaa Ana kichwa kimetulia Sana .
Ile kusema atajitetea lengo lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.