Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,354
- 18,627
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi wilaya ya Same, Miriam Mjema amechukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya chama cha Mapinduzi kuwania Ubunge katika Jimbo la Same mashariki wilayani Same mkoani Kilimanjaro.
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo katika ofisi za ccm wilaya, alisema kuwa amejipima na kuona anatosha kuliongoza jimbo hilo.
Alisema kuwa, Ilani ya uchaguzi ya CCM 2025/2030 inataka mtu ambaye ataweza kukimbizana nayo na mtu ambaye ataweza kuendana na kasi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Miriam alisema kuwa, Rais amefanya mambo mengi na makubwa katika Jimbo la Same mashariki hivyo anahitaji kumpata mtu ambaye ataweza kukimbizana na kasi yake ambapo yeye anaweza kufanya hivo.