Wakati uchukuaji na urejeshaji wa fomu kwa wanaotaka kugombea ubunge na udiwani, ukianza leo Jumamosi, Juni 28, 2025 kwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), harufu ya mchezo mchafu imeanza...
Mama leo hii na muda huu anafunga Bunge lake. Ni Bunge la Chama kimoja ni Bunge la kibabe na Bunge lisilotambua Vyama vingi!!
Ndo maana hata Spika wakti anatambulisha wageni sijasikia Kiongozi wa...
Kwa Daudi Bashite kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha sina shida kwa kuwa ni cheo cha uteuzi. Ila Arusha kuwa na Mbunge mwenye haiba ya Bashite ni kudhalilisha Jiji la Arusha na wananchi wake. Imagine mtu...
Ndani ya siku mbili kuanzia Sasa, taifa litaongea lugha tofauti, Kuna jambo litatokea ambalo Kwa ustawi wa CHAUMA itakuwa ni kilio na kusaga meno.
Usaliti ni mbaya, haraka haraka Haina baraka...
Maalim Seif alipewa kipaji cha kukubalika na kuaminika Unguja na Pemba kuliko mwanasiasa mwengine yoyote kutokea katika miaka hii 60 - 70 iliopita.
Tundu Lissu amepewa kipaji cha kuwa binaadam...
wekezeni kwenye kuijenga chadema imara, msiangalie sana leo bali angalieni miaka 5-10 ijayo, kwa maoni yangu mpaka 2030 tanzagiza itakuwa imevurugwa na kuharibiwa na ccm kiasi kwamba yoyote...
Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kesi yake dhidi ya Jamhuri.
Lissu amefungua kesi hiyo namba 14496/2025 akiomba marejeo ya...
Furaha Nemela Mwalimu wa shule ya msingi Chakama, iliyopo wilayani Masasi, mkoani Mtwara, ametia nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Masasi Mjini, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku malengo...
Jumuiya ya umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Tanga imewataka Vijana kujitokeza kwa wingi kuchukua fomu za Uchaguzi kwa lengo la kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika...
Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Kigoma, kimesema zoezi la uchukuaji wa fomu za kugombea Ubunge na Udiwani zitaanza kutolewa Juni 28, 2025, huku wenye umri kuanzia miaka 21 na kuendelea wakitakiwa...
Ukiangalia kwenye jicho la tatu bunge kuvunjwa August 3 mwaka huu
Misimamo yako isiyoyumba Sasa imeanza kuzaa matunda
Mwanzo tuliwaambia wakashupaza shingo
Sasa naona no reform no Election...
Kamanda aliyejinasibu kufanya hivyo si mwingine bali ni Salum Mwalimu katibu mkuu wa chauuma.. Akijisifia kubomoa ngome zote za CHADEMA(hapa alijisahau kidogo)
Kwa majigambo mengi kuhusu chopa...
Unaweza kumpigania mtu kwa hali na mali na ukapoteza kila kilichochaki mwisho wa siku unaompigania akakugeuka.
Mfano mzuri wabunge wa upinzani jinsi walivyopiganiwa baadae kuunga juhudi
Taarifa ya Chademo iliyosambazwa kote Duniani hii hapa
Swali: Ujanja ujanja kwenye Ushahidi wa kunyonga mtu unatoka wapi tena, Wekeni mashahidi wenu hadharani Dunia iwaone, Mbona yule Askari...
Matatizo common ya raia hakuna anaye hangaika nayo, watu wanacgo taka ni mbunge alete mifuko ya cement na bati na nondo basi kazi kwisha.
1. Mifumo bora ya afya
2.Ellimu Bora
3.Mazingira bora ya...
Mnaozipokea hizo baiskeli, mnashauriwa kuzibadilisha rangi na kuiuza ndiyo salama yenu...
Kijana mmoja mkazi wa Kijiji cha Lambo, wilayani Hanang mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya...
Tangazo Kwa Wanachama na kwa Umma
Chukua taarifa hii kwamba, fomu za kuomba kugombea Udiwani, Uwakilishi na Ubunge kwa tiketi ya Chama cha NCCR-Mageuzi, zitaanza kutolewa kuanzia tarehe 01...
Salaam!
Bunge halijavunjwa, limeahirishwa tu,
Sasa Nini kimelengwa hapo?
Ni kudhibiti wahamaji au ni mpango wa reforms kupata tume huru ya uchaguzi?
Karibuni 🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.