Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wana jamvi, Mimi ni mwana CCM tena kindakindaki. Nayaona yafuatayo ndo yatatupa ugumu katika hizi chaguzi na tusipoyaona tutaondolewa madarakani ndani ya chaguzi mbili zjazo. 1. Vijana...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
NEC kazi yake ya kwanza ni kutoa fomu kwa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani. Wengi wanajiuliza kama hufai kwanini wasiache kukupa fomu? Jibu rahisi, Kisheria unatakiwa wewe unayeomba ujibu hayo...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Kwenye biashara yoyote usipokuwa makini unaangukia pua na kupata hasara kubwa, lakini si biashara tu tunakosea na kupatia mengi maishani mwetu kuanzia kwenye elimu, siasa, ajira mpaka mahusiano...
30 Reactions
53 Replies
4K Views
Ijumaa mchana kishindo kikubwa kinatua Arusha. Ni Tundu Lissu "The chosen" atasambaratisha shughuli nyingi kwa muda wa masaa matatu. Pale atakapotafuta wadhamini kwa ajili ya kupeleke uelekeo mpya...
20 Reactions
47 Replies
5K Views
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Mstaafu Francis Mutungi ameionya CHADEMA kutokana na alichokiita uvunjifu wa sheria kwa kuongeza ubeti wa tatu kwenye wimbo wa Taifa. Ameeleza kuwa kitendo...
11 Reactions
106 Replies
13K Views
Mgombea wa Urais kupitia chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba na mgombea mwenza Hamida Abdallah Huweishi, leo Agosti 11, 2020, wamechukua fomu zakugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
43 Replies
6K Views
SAFARINI: TABORA, SHINYANGA, GEITA, SIMIYU, MWANZA, MARA na KAGERA Ameyasema haya akizungumza na wafuasi, wapenzi na wanachama wa CHADEMA wa majimbo ya uchaguzi ya Igunga na Manonga yaliyo ndani...
55 Reactions
273 Replies
31K Views
Wakati mpaka leo hii nikiwa sipati logic ya mgombea kupata udhamini wa chama cha siasa,kinachonishangaza zaidi ni hili swala la mgombea urais kutakiwa kutafuta wadhamini wa kumdhamini kugombea...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Rais Magufuli umelikoroga sasa na ulinywe tuu maana hakuna namna. Ukitumia ubabe kwa watanzania watakupiga kwenye sanduku la kura, sisi tunasema usitumie ubabe. Tukakusihi kutoka mwaka 2016...
24 Reactions
83 Replies
7K Views
Mgombea Ubunge Jimbo la handeni mjini kupitia CUF chama cha wananchi , mhe Sonia Magogo amefika katika ofisi za msimamizi wa uchaguzi handeni mjini na kuchukua fomu ya kuwania ubunge...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tukiwa njiani kwenda kuhutubia maelfu ya watu Tarime na Bunda ghafla tukavamiwa na halaiki hapa Busega Simiyu. Bado safari inaendelea.
19 Reactions
59 Replies
7K Views
SUALA LA CHADEMA TUMEMUACHIA MSAJILI WA VYAMA Masuala yote yanayohusu maudhui ya utangazaji kisheria yapo chini ya Waziri mwenye dhamana ya habari, Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 pia...
8 Reactions
39 Replies
6K Views
Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka Takukuru kuhakikisha inawashughulikia wanasiasa wanaorubuni wapiga kura au kununua uongozi katika uchaguzi mkuu. Mh Majaliwa amesema Takukuru iwashughulikie...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nawakumbusha tu viongozi wa CCM kwamba kama kuna mkurugenzi wa halmashauri alienda kugombea ubunge halafu amerejea ofisini basi liangalieni swala lake kwa umakini mkubwa sana. Tusije kutoa sababu...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha NCCR MAGEUZI, Yeremia Kulwa Maganja...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Shinyanga imetuma ujumbe kwa wale wanaosema "Kazi za JPM zinaonekana" aka wazee wa Zahanati 500 Shinyanga hatukuwahi kufanya mikutano kama ambavyo mshua alikuwa amepageuza njia ya kwenda na...
27 Reactions
77 Replies
8K Views
Kutoka Kushoto: Salum Mwalim Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania(CHADEMA), Tundu Lissu Mgombea Urais wa Tanzaniana(CHADEMA) Esther Bulaya Mgombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini Kupitia CHADEMA...
27 Reactions
68 Replies
11K Views
Kama wewe ni mfatiliaji wa siasa za Tanzania na Afrika utakubaliana na mimi kuwa kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukikosa kiongozi bora wakuongoza watanzania kwa maslahi ya taifa na wala sio vyama na...
34 Reactions
173 Replies
11K Views
Ndugu zangu, Kuna baadhi ya kikundi wanalazimisha kwa kufanya propaganda kuwa Tundu Lissu ni sawa na Raisi Magufuli, wanaenda mbali kwa kutaka ''mdahalo'', sijui nini na nini. Tuweke taarifa...
30 Reactions
161 Replies
10K Views
Tundu Lissu tayari ameshaonyesha wazi kuwa ni mwiba mchungu kwa CCM kuelekea kwenye kampeni, kwa muda mfupi aliopanda kwenye majukwaa yasio rasmi kwa ajili ya kampeni ameoneka kuwa Ni mtu mwenye...
55 Reactions
119 Replies
10K Views
Back
Top Bottom