Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,951
12,535
SAFARINI: TABORA, SHINYANGA, GEITA, SIMIYU, MWANZA, MARA na KAGERA

Ameyasema haya akizungumza na wafuasi, wapenzi na wanachama wa CHADEMA wa majimbo ya uchaguzi ya Igunga na Manonga yaliyo ndani ya wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora akiwa katika safari ya kutafuta wadhamini wa ugombea wake wa Urais. Tazama na sikiliza video hii 👇 👇


Aidha amewataka wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA kuhakikisha kuwa wanawasindikiza wagombea wao wa Udiwani na Ubunge wanapokwenda kuchukua fomu za kuomba uteuzi ktk ofisi za DEDs ama TCDs ama CCDs ama WEOs ambao ndiyo wanaoratibu mchakato wa uchaguzi kwa niaba ya Tume ya Uchaguzi wa Taifa (NEC) katika ngazi ya Jimbo na Kata...

Vivyo hivyo, ametumia nafasi hiyo kuwahimiza wagombea wote kuwa waangalifu ña makini sana wanapojaza fomu hizo ili wasije wakaingia ktk mitego midogo midogo ya kufanya makosa ktk ujazaji na kuwapa washindani wao mwanya wa kuwawekea mapingamizi na kujikuta ya uchaguzi wa serikàli za mitaa mwaka 2019 yanajirudia
 
washauri wa Membe watakuwa wanamwambia si tulikuahidi tatizo la Lissu tutalimaliza we endelea na yako; Lissu hatma yake tuachie sisi.

Huyu mtu anachokoza vyombo vya ulinzi alipofikia nafananisha na ugomvi wa utotoni mtu akija kupigana anaanza maneno we akiona umpi attention wapambe wanaotaka kuona ngumi wanamshawishi muwekee kidole jichoni akifika hapo ujue ngumi lazima ata kama mmoja hakuwa na mpango wa kupigana.

Watanzania wote sio blind supporters wa vyama vya siasa wanaona uchokozi wa Lissu. Ambao ni vigumu sana kwa chombo chochote cha ulinzi duniani kuvumilia.
 
Magufuli anaondoka kwa Hali hii atake asitake. Kuanza huenda vurugu zikaibuka kabla ya uchaguzi. Ofisi za serikali huenda zikaharibiwa kwa njia yoyote ile ikiwa watu watawakimbia wagombea wa upinzani. Hicho ndicho kinatafutwa nasikia Marekani na Uingereza wamejiweka tayari. Tusali Sana wa Tanzania. Pia Membe kasema chochote chaweza kutokea kabla ya October 2020, anajua wamepanga nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom