Sidhani kama atapata hata diwaniLengo hapa ni kubaki kwenye register ya ruzuku.
Hata mtu wake wa karibu Sakaya hawezi kumpigia kuraAnasindikiza wagombea huyu mzee, akipata kura laki 1 nitakunya njia nzima kwa umbali wa 2km
Hana shida ya kura, ameisha itikia attendance register inatosha.Lipumba kaimaliza cuf kabisa dadeeeki sijui hata kama atapata kura 500000.
Sasa ruzuku inatoka wapi mkuu?Hana shida ya kura, ameisha itikia attendance register inatosha.
Nilimaanisha hizo laki tano akipata zitamtoshaSasa ruzuku inatoka wapi mkuu?
Du mpaka huyo?Hata mtu wake wa karibu Sakaya hawezi kumpigia kura
Anasindikiza wagombea huyu mzee, akipata kura laki 1 nitakunya njia nzima kwa umbali wa 2km
Awamu hii ni vigumu as wapemba wameshaondokaLengo hapa ni kubaki kwenye register ya ruzuku.
Kwanini hajamuweka Sakaya kuwa Mgombea Mwenza maana wanaendana.Hata mtu wake wa karibu Sakaya hawezi kumpigia kura