Uchaguzi 2020 Mgombea Yeremia Kulwa Maganja wa NCCR-Mageuzi achukua fomu za Urais

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha NCCR MAGEUZI, Yeremia Kulwa Maganja aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Haji Ambar Khamis katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 11, 2020. Chama hicho kinakuwa cha kumi na tatu (15) kuchukua fomu. Uchukuaji fomu za kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 umeanza Agosti 5 hadi 25,2020.

1597141480671.png


1597141497833.png
 
..ni huyo mwenye kofia.

..kabla ya kujiunga nccr alikuwa act.

..na alipoondoka act alitoa kauli ngumu sana dhidi ya Zitto Kabwe, na kundi la kina Maalim.
Alitoa kauli gani mkuu ujuwe si wote tuliisikia
 
Back
Top Bottom