Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tegemea Mbogela amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge wa viti maalum mkoa wa Njombe kupitia Chama hicho. Soma,Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia...
0 Reactions
3 Replies
336 Views
Ufisadi mkubwa tena: Dawa hizi ni hatari kwa Binadamu ----------------------------------------------------------------- Hiki ni kipindi pekee cha vugu vugu la kuhanika ufisadi. Hivi...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kigoma Deogratius Nsokolo akizungumza kuhusu suala la wasanii na watu maarufu kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Wanabodi, Kwanza angalieni hii picha More than 60% of Rwanda’s parliamentarians are women. Photo: Sam Ngendahimana Nimesoma kwenye Ripoti ya WB, Bunge la Rwanda ndilo Bunge linaloongoza Dunia...
17 Reactions
89 Replies
11K Views
Huyu mama namkubali jamani. Nimejaribu kusikiliza speech zake zinavutia kiasi. http://www.ted.com/index.php/talks/view/id/152 http://www.ted.com/index.php/talks/view/id/127
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi Samia Suluhu Hassan naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuitumikia kwa moyo wangu wote na kwamba nitaihifadhi, nitailinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri kwa sauti ya Iron Lady SSH,kiboko ya wanasiasa uchwara. Moja kwa moja kwenye mada,kuna msemo unasomeka kwamba starehe ya maskini ni ngono,bila shaka unasadifu kwa...
9 Reactions
103 Replies
9K Views
Kazi yangu kubwa sana leo baada ya kuanzisha huu Uzi ni kusoma tu Comments zenu mkiwa mmeshakijia Chama Babu.
0 Reactions
3 Replies
461 Views
Wakili wa kujitegemea Tumsifu Kweka, ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, leo amejitokeza rasmi kuchukua fomu za kuwania ubunge...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Kutoka mwanakijiji.com Waziri wa Mambo ya Ndani Bw. Lawrence Masha leo ametembelea gereza la Keko ambapo mawaziri wawili wa zamani wanashikiliwa rumande wakikabiliwa na jumla ya mashtaka 13...
0 Reactions
117 Replies
17K Views
My Take Mda utasema ==== Shauri la uhaini linalomhusu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu limeahirishwa mpaka Julai 15, 2025. Ahirisho la shauri hilo limefuata baada ya...
21 Reactions
149 Replies
7K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni The Voices From Within kuwa "Japo Hawakutendewa Haki Ndani ya Chama Chao Chadema Kwa...
12 Reactions
101 Replies
10K Views
Chama cha Mapinduzi ambacho Takwimu za muda mrefu zinaonyesha kwamba kinaongoza kwa Ushirikina kwenye ukanda wa Maziwa Makuu, kimeanza mchakato wake Batili wa kutafuta Wagombea mbalimbali (Ni...
11 Reactions
66 Replies
2K Views
Mwanasheria Msomi, Emanuel Manase, amechukua fomu ya kugombea udiwani Kata ya Mbulumbulu Karatu, mkoani Arusha Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Salaam, Shalom! Ulianza safari na dereva , dereva akafia njiani, akawekwa kondakta amalizie safari ya kilometa tano zilizobaki. Hivi tunavyoongea, dereva Yuko njiani kwenda kuvunja nyumba Ile ya...
16 Reactions
53 Replies
3K Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, Baisa Baisa amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge Jimbo la Mtwara Mjini. Baisa, amekabidhiwa fomu hiyo leo Julai...
0 Reactions
1 Replies
389 Views
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi na Mkurugenzi wa Ruangwa Pride Hotel, Mparuka Hashim Mtopela amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Ruangwa. Soma,Pia...
1 Reactions
4 Replies
722 Views
Namuona Khassim Majaliwa akirudishwa kwenye chama halafu 2030 akagombee nafasi nyeti kabisa ya kitaifa
0 Reactions
6 Replies
484 Views
Dkt. Kimei Aomba Tena Ridhaa ya CCM Kugombea Jimbo la Vunjo – Mwanasiasa Muadilifu, Kiungo wa Maendeleo Na Mwandishi Wetu, Vunjo Katika hali ya kutia moyo kwa wakazi wa Jimbo la Vunjo, Dkt...
0 Reactions
9 Replies
469 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…