Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Peter Serukamba leo Jumapili Juni 29, 2025 amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kigoma Kaskazini. Katika uchaguzi wa mwaka 2020, Peter Serukamba alikuwa...
0 Reactions
7 Replies
671 Views
Mbunge wa zamani wa Nyamagana, Lawrence Masha amechukua fomu ya kuwania tena ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza. Masha amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili...
0 Reactions
1 Replies
649 Views
“Hatari sana kuna mwenzetu amepigwa rungu amezimia kisa ameabudu hatujafanya fujo yoyote sio mwizi anataka haki yake ya kuabudu tunanyimwa uhuru wa kubudu katika taifa huru” Ni maneno ya muumini...
0 Reactions
2 Replies
349 Views
Hata Biblia inatufundisha kwamba uchawi upo hivyo tuwe makini sana nyakati hizi Kwako Mshana Jr Same Saba Saba
1 Reactions
24 Replies
615 Views
Wakati wa shambulio kubwa la usiku, Luteni Kanali Maxim Ustimenko, wa jeshi la Ukraine ambaye alikuwa rubani wa ndege ya kivita ya F-16, aliuawa. "Rubani alitumia silaha zote za ndani, akiangusha...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
zaidi ya miongo mitatu Tanzania ikiwa chini ya mfumo wa vyama vingi chini ya katiba ya chama kimoja,iliyovishwa viraka vya mfumo wa vyama vingi, ikiendelea bila mfumo sahihi wa uchaguzi wa...
0 Reactions
28 Replies
1K Views
Hili liko wazi kabisa. Wana CCM halisi ni wazee wale waliokosa elimu ya jamii ya kutosha. Wale wazee waliokosa/ kunyimwa elimu wanadhani amani ni CCM na siku wapinzani wakichukua nchi watashika...
1 Reactions
0 Replies
181 Views
Mhandisi na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Jafari Hegga amechukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki. Hegga amechukua na kurejesha fomu hiyo leo...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Ni jambo la ajabu sana , kuona mtu anapata madaraka kwa mjibu wa katiba. Halafu hapo hapo anatumia madaraka kuivuja katiba. Huu ni ugojwa wa akili unao penda kushambulia watawala wa kiafrika...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Kata ya Nyachiluluma, Wilaya ya Geita, Ester James amejitokeza rasmi kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo Jipya la Katoro. Leo Juni...
1 Reactions
4 Replies
490 Views
Mbunge wa Igunga anayemaliza muda wake, Nicholaus Ngassa amechukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mara nyingine. Ngassa amechukua na kuirejesha fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025 kwa Katibu...
0 Reactions
1 Replies
461 Views
Rais ame tick Kwa Spika Tulia,nyie wengine tafuteni Majimbo mengine. "Nilikuwa nafuatilia kwa karibu yanayotokea pale Mbeya mjini, Mbeya unapajua (Mkuu wa Mkoa wa Mbeya aliyeapishwa jana) ni...
1 Reactions
10 Replies
603 Views
Mchekeshaji @stanbakora_ Agombea Nafasi Ya Udiwani Kata Ya Kiwanja Cha Ndege Morogoro Ameyasema Hayo Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram Kwa Kuandika👇 “Wana MOROGORO MJINI Kata Ya KIWANJA CHA...
0 Reactions
3 Replies
445 Views
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Aklin Ndelwa amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea udiwani wa kata ya Mbalatse wilayani Makete mkoani Njombe Baada ya kuchukua fomu leo Juni 28,2025...
0 Reactions
3 Replies
386 Views
Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) imesema imetandaza maafisa wake kila sehemu kuhakikisha wanafatilia kwa karibu mchakato wa watia nia ya kugombea nafasi za uongozi...
1 Reactions
0 Replies
193 Views
Wakuu Kumbe huyu jamaa alikuwa serious kuhusu kuchukua fomu na kugombea Ubunge wa Kigoma Mjini Naona leo amewasili mkoa wa kigoma kwaajili ya kukamilisha hatua za uchukuaji wa fomu za kutia nia...
0 Reactions
9 Replies
869 Views
Mbunge wa Jimbo la Ulanga (2020 - 2025), Salim Alaudin Hasham amechukua fomu ya kuwania ubunge wa jimbo hilo akiomba dhamana ya ubunge wa jimbo hilo 2025 - 2030. Baada ya kuchukua fomu hiyo Salim...
1 Reactions
1 Replies
442 Views
Ni jambo la kusikitisha kuona wimbi la watu wanaokimbilia kuchukua fomu za ubunge kupitia CCM—wengi wao ni wasio na uelewa, hawajui hata msingi wa majukumu ya mbunge katika representative...
5 Reactions
21 Replies
810 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Alliance Democratic Change (ADC), Shaban Itutu, ametoa wito kwa serikali kuweka mikakati madhubuti ya kuwawezesha wamachinga, mama lishe na vijana wa boda boda na bajaji...
1 Reactions
0 Replies
216 Views
Kada maarufu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ,Ndugu Mawazo ngwelenje amejitosa katika mbio za Ubunge wa jimbo la Liwale Mkoani Lindi kwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa. Ngwelenje amekabidhiwa fomu...
0 Reactions
1 Replies
394 Views
Back
Top Bottom