Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa anayewakilisha Wilaya ya Ilemela, mkoani Mwanza, Kafiti Kafiti, leo Jumapili Juni 29, 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la...
https://www.youtube.com/live/o_B5LqZdbCY?si=omR1VXMDoSHBZPLq
Honestly, nimeshindwa kuelewa hii maana yake ni nini hasa...
Polisi wamezuia majengo na mali zote za kanisa la GCTC - Ufufuo na Uzima...
Juzi kwenye kongamano la Wanawake Arusha aliyekuwa Spika wa Bunge kasema haya;
Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Samia alisema haya;
Sidhani kama hapa duniani...
Uwekezaji Mkubwa a Kijasusi alouwekeza Israel nchini Irani, ulifikia Hatua ya kudhani Operation ya Kumuua Kiongozi wa Iran, Ayatollah, na kuwaua Wakuu wa MAJESHI nchini Iran haraharaka...
Haka ka dc kamchongo kapuuzi sana kamepost suala la kusitishwa Bunge halafu kamelimit coment .
Kajamaa kapumbavu sana kana jua kujipendekeza na tokea wamejua Samia ni mpenda Masina wanasifia hadi...
Waziri wa Maji na Mbunge wa Pangani Mhe. Jumaa Aweso amechukua na kurejesha fomu ya kugombea tena Ubunge wa jimbo la Pangani mkoani Tanga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Fomu hiyo...
Taarifa hii imenifikia asubuhi hii. MwanaJF mwenzetu Pasco Mayalla amechukizwa na ushindani mdogo wa kisiasa uliopo katika majimbo ya Dar es Salaam na ameamua kuelekea Mbeya kugombea ubunge...
Utangulizi.
Dira ya 1 ya Maendeleo ya Taifa ni ya Mchakato wa mwaka 1969 ambayo ilitoa tathmini ya Maendeleo kuanzia Mwaka 2000-2025. Takribani miaka 22 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
Mbunge anayemaliza muda wake wa jimbo la Arusha mjini na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa huo Mrisho Gambo @mrisho_gambo amechukua tena fomu ya kuwania nafasi ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi...
Niwashauri vijana wenzangu. Kama hela yako ni ungaungamwana tafadhali sana nenda kaongeze mtaji kwenye biashara yako, kawape maskini au kampe mamaako atakuombea na kukukumbuka daima.
Mimi...
Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango, Jamal Kassim Ali amechukua fomu ya Ubunge Jimbo la Magomeni visiwani Zanzibar, akiwa na dhamira ya kutetea kiti chake hicho cha ubunge kwa...
Wahenga walisema nyakati huzungumza.
Kuna siku Mzee Kikwete alisema Mgombea wa CCM ni Samia ila haitakuwa hivyo labda mambo yaharibike saana.
Sijui kwa nini yule mzee aliongea yale maneno, ila...
Wakuu,
Mkurugenzi wa Taasisi ya Shule Direct na Mdau wa maendeleo ya elimu pamoja na mafunzo ya ujasiriamali kwa Wanawake, Faraja Kotta ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2004, amejiunga...
Mchakato wa kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani kwa CCM unaweza kuwa chanzo cha haraka haraka cha mapato kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba 2025.
Angalia...
Ikiwa mmesikia ya Bunda basi Wana KAWE tujiandae kisaikolojia ujio wa COVID Mstaafu ili aingie tena Bungeni Mshahara 18m/month+ pensheni 400m TZS.
Bye bye Baba Askofu Mkuu
Mbunge wa Igunga anayemaliza muda wake, Nicholaus Ngassa amechukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mara nyingine.
Ngassa amechukua na kuirejesha fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025 kwa Katibu...
Watu wasiopungua 38 wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya mabasi mawili kugongana uso kwa uso na kushika moto katika mkoa wa Kaskazini wa Kilimanjaro, Tanzania.
Mkuu wa Mkoa wa...
Miaka hamsini ya kujenga na kuuimarisha umaskini nchini Tanzania
NILISIKILIZA kwa makini hotuba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, maarufu...
Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, Abdallah Mtinika amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania Ubunge wa Temeke.
Mtinika amekabidhiwa fomu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.