The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mbunge wa Igunga anayemaliza muda wake, Nicholaus Ngassa amechukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mara nyingine.
Ngassa amechukua na kuirejesha fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025 kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Igunga, Ebeneza Mainoya.
Ngassa amechukua na kuirejesha fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025 kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Igunga, Ebeneza Mainoya.