Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, amesema jumla ya wanachama 4,109 wamechukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu ujao...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Something is wrong somewhere! Kwa muda wa miaka miwili na zaidi sasa takwimu zinazotolewa na Serikali na vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje ya nchi zinadai kuwa Tanzania tunaongoza...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Hakuan mtu nimemshusha vyeo kama gwajima kwa kitendo cha yeye kwenda kuchukua fomu ya ubunge hivi watanzania kweli tutatoka hapa Nakupa scenario mbili za matukio ya gwajima uone alivyokuwa mtu...
15 Reactions
61 Replies
4K Views
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG), Bw. Nyanda Shuli, amesisitiza umuhimu wa wananchi wa Tanzania kupewa elimu kuhusu rushwa na madhara yake, ili kuwawezesha kutumia...
1 Reactions
3 Replies
438 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasikitishwa anapoona haki za kidini zinapuuzwa na anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na akiwaalika...
6 Reactions
75 Replies
4K Views
John Heche ni hazina kubwa Sana na yupo mbele Sana ya Muda. Huyu ndo anafaa kuwa Rais.
18 Reactions
46 Replies
2K Views
Muda umefika sasa kwa wakazi wa Songea town kwenda na Eng. Fuko kwa maendeleo ya wa Songea town, tunaowamba wajumbe msifanye kosa hata kidogo siku ya kupiga kura
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Jumapili waumini wa Gwajima waliamua kuvamia kanisa la KKAM lililo jirani na Kanisa la Gwajima mita 200 kutoka lilipo kanisa la Gwajima lililofutwa Walijifanya kama waenda kusali Wakavamia na...
0 Reactions
1 Replies
368 Views
Katika nchi iliyokubali kuwa na vyama vingi vya siasa lakini katiba yake bado ni ya chama kimoja. Ili viongozi wao wawe bora ni lazima wapitishwe kwenye chuo cha Uongozi kilicho mkoa wa Pwani...
17 Reactions
15 Replies
737 Views
GT Da hawa ndugu zangu ushamba umezidi aiseee.
1 Reactions
0 Replies
261 Views
Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu. Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa...
78 Reactions
147 Replies
10K Views
Kijana amekufa SI kwa mapenzi ya Mungu Mama anazugumza alipigiwa simu na mtendaji, akapewa taarifa ya KUKAMATWA kwa mwanae Yeye akiwa hosptali akarudi kwake Akatengewa chakula Akala Akiwa tonnge...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
1.Kifo ni kifo tu. 2.Hayo madini tembo hawali kayachimbeni ila kitalu C msikiguse. 3.Bandari ni maji tu watu awahami nayo leteni watu wakabidhini waiendeshe. 4.Utekaji ni drama za wapinzani...
20 Reactions
56 Replies
3K Views
Yaani nchi hii kwa Sasa inasikitisha sana. Yaani ccm kimekuwa chama Cha manyangany'i na mafisadi ya taifa hili. Kupitia kuwa mwanachama wa CCM, waziri, katibu mkuu, mkuu wa shirika, mkurugenzi wa...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Kada wa chama cha mapinduzi ( CCM) Amandus Jordan Tembo, juni 28,2025 amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la Songea mjini katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika hapa nchini...
0 Reactions
4 Replies
392 Views
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kahama Mjini 2005 - 2015 James Daud Lembeli amejitosa kwenye kinyang'anyiro cha kuomba ridhaa ya kuipeperusha bendera ya chama cha mapinduzi (CCM) ngazi ya ubunge kahama...
1 Reactions
6 Replies
831 Views
Huyu bidada kwenye debate ya Tundu Lissu kwenye bunge la umoja wa ulaya, ndo Mbunge aliyepiga spana aswaa. Alienda mbali na kusema misaada ya umoja wa ulaya Kwa Tanzania ije na masharti ya ukuaji...
2 Reactions
4 Replies
756 Views
Mwenyekiti wa umoja wa maafisa usafirishaji (BodaBoda)kanda ya kihesa Ndugu ALEX ELIAS DUMA amejitosa kusaka udiwani kata ya Kihesa manispaa ya Iringa Alex Duma anakoleza joto la uchaguzi katika...
1 Reactions
3 Replies
296 Views
-inabidi utii amri hata ikibidi kufanya mavu kwa kadri ya kiapo chako. -Hivyo inakubidi kutekeleza hata maelekezo ambayo unajua fika si haki na ni uonevu na uovu imagine unaamriwa umshambulie na...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom