Who is Benno Malisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who is Benno Malisa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tuko, Mar 24, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Taarifa za kiintelijensia hazionyeshi kama anatokea familia ya 'kifisadi'. Inasemekana alikuwa msanii tuu, tangia anasoma Marangu sec hadi UD, na aliwahi kushiriki utapeli wa kutoa scholarship hewa, ili kukusanya application fees.

  Sijui ndani ya usanii huo alifanikiwaje kujipenyeza ndani ya CCM, na kuukwaa amakamu wenyekiti wa UVCCM.

  Kinachofanya nidadisi taarifa zake, ni kutokana na siku za karibuni huyu kijana kushiriki kikamilifu katika njama zinazoonekana kuwa ama kwa makusudi, au kwa kutojua ni za kuiua UVCCM.

  Yule Bw mdogo Sabato juzi aliwaambia live kuwa wanaonekana live kuwa wananunuliwa. Kwangu mimi kununuliwa sio tatizo, tatizo ni pale unaponunuliwa kuiangamiza nyumba unayoishi. Hivi ikishaangamia utaishi wapi?

  Benno ni tofauti na akina Ridhiwani, Bashe, Nnauye n.k ambao wanajua kabisa kuwa wana maisha mapaaaana, nje ya UVCCM. Lakini huyu kijana anajiamini nini? maana inavyoonekana, kitendo cha kuinadi UVCCM kwa mafisadi kwa bei nafuu kiasi hicho, lazima mtu uwe 'umeaga kwenu'...

  Hebu wenye kumfahamu huyu kijana na kinachomfanya ajiamini watujuze... ni pesa, ni kazi nzuri, ni elimu kubwa... au ni nini?
   
 2. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  WATANZANIA INABIDI WAAMUE KAMA KWELI UVCCM BADO INAWATETEA WAO AU MAFISADI. SASA HIVI SEKRETARIETI YOTE YA UVCCM NI MALI YA MAFISADI (kIMARYO, 2011; MAKONDA, 2O11 (ANGALIA MWANANCHI, MACHI 23, 2011) Kimaro: UVCCM ni bua lililokauka).

  NI UMOJA WA VIJANA CHADEMA KWA SASA NDO WANAMUITIKIO WA KUWAAUNGANISHA VIJANA NA WANANCHI WA TANZANIA KULETA UKOMBOZI WA KWELI NA UTU WA MTANZANIA AMBAO SASA UMEUZWA KWA MAFISADI PAPA.
   
 3. N

  Nanu JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Atajijua!!!
   
 4. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Huyu Benno ni mtoto wa Kamishna wa Magereza mstaafu,Comm.Onell Malisa.Nguvu yake inakuja tokana na urafiki wa karibu wa mtoto wa Mhe.Raid,Ridhiwani kwani inasemekana ni washkaji saaaana katika ile style ya Kikwete na Lowassa ya ''Hatukutana bara barani bali urafiki wetu una chimbuko kubwa".Amesoma UDSM LL.B nadhani mwaka 2005 class,correct me if i am wrong.Ni kijana aliyejizatiti lakini ndo hivyo anafuata matakwa ya wakubwa.Inasemekana ni mtu wa karibu na Mhe.Lowassa mtarajiwa wetu wa 2015??
  Ili kuwa autwae uenyekiti wa UVCCM kipindi kile 2008 lkn alifungwa breki na Mkiti wa CCM Taifa baada ya maamuzi kua nafasi hiyo iende Visiwani..
   
 5. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tuulize sisi tukwambie huyo Kiongozi wako Mbowe enzi zake wakati anafukuzia wanadada pale kwenye lango la Jangwani. Mbona sasa Mwenyekitu.

  lazima ujuwe watu ubadilika
   
 6. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,419
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  sikuwahi hata kufukiri kama ana degree...poor malisa.
   
 7. i

  itahwa Member

  #7
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  au wale mabaa medi pale BOMA LA NG'OMBE
   
 8. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #8
  Mar 24, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ok. Lakini sasa kwa nini hatumii akili! Akajua kuwa nguvu ya Ridhiwan inaishia 2015? Haihitaji mtu kutumia hata 1% ya uwezo wako wa kufikiri kujua kuwa Ridhiwan hana future kwenye politics kwa sababu ana uwezo mdogo kiujanja...
   
 9. L

  LAT JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ndiyo wale wale wakurupukaji wa kutoa matamko
   
 10. N

  Ntandalilo Member

  #10
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri nimeipenda hii.............. will be right back!
   
 11. Dume la Mende

  Dume la Mende JF-Expert Member

  #11
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kumbe ndiyo yanayoongelewa na Great thinkers? Naendelea kushangaa
   
 12. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  this is out of point. Atleast we get chance to know you that you are among the gays who are paid to to misdirect us from discusing the issue to crap! Poor you
   
 13. L

  LAT JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  du...! kumbe huyu jamaa ndiyo kama hapo kwenye red
   
 14. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  kijana sijui binti yani ndo umeingi jana tu hata hodi hujapiga halafu unaanza direct na pumba?yaani umenishangaza sana au ni under age?
   
 15. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Kwa upande wangu, this guy is good. What he's doing is perfect! Chama chao kinaelekea ukingoni na ilishatabiriwa kuwa watakaokimaliza watatokea humohumo. Kwahiyo anachofanya Beno Malisa ni kutimiza utabiri! Anafanya vizuri kwasababu ili nchi hii iendelee, ccm lazima iondoke madarakani! Keep on keeping boy!
   
 16. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Zaidi ya 2015 kwani Benno hiyo 2015 ana mpango wa kusimama Ubunge aidha Moshi Vijijini ama jimbo lolote lile.Yeye ni wa Moshi Vijijini.Baada ya hapo atakua kwenye duru la siasa za wakubwa yaani Bunge,Cabinet etc so watch out for this guy.He is not dumb as to say but he hugs the next leaders the like of Lowassa etc...
   
 17. M

  Mswahela Member

  #17
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaribu kuwa makini na lugha ya watu; gay na guy ni maneno mawili tofauti. Gay ni tusi kubwa ndugu yangu. And what is discusing the issue? Perhaps you meant discussing the issue.
   
 18. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #18
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  I know what I'm doing!
   
 19. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #19
  Mar 24, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Hata mi nilidhani kuwa siasa ndo alochagua kuwa shamba lake... Lakini namna alivyoi-handle siasa, completely kaingia choo cha kike!!!!!
   
 20. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #20
  Mar 24, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Benno Malisa amesoma na Ridhiwan degree ya sheria UDSM, wamemaliza wote mwaka 2005.
  Hawa jamaa wawili hawakuwahi kuwa marafiki mpaka point ambayo Ridhiwan aliamua kugombea upresident wa faculty ya sheria sometimes mwaka 2004.

  Ghafla Benno akajitokeza na kupromise kumpigia kampeni, Ridhiwan alikuwa hakubariki kabisi kwa sababu upstares ni maji kabisa, yaani wakati watu mnadiscuss serious issues achelewi kuongea pumba, very irressiblly indeed. Benno ni talkative (pumba lakini, he does not wait to have evidence, anazungumza saaaana, yaani ni best MC material, ni mbishi anamatusi mdomoni usiombe, hana aibu hata kidogo na anapenda kuuza sura sana). so ridhiwan akapata kampeni manager.

  Ridhiwan akashinda na kama kawaida ya watoto wa JK, I am sure Benno alipata access ya seating room ya Jakaya and so Benno is there.
   
Loading...