GE2025 Profesa Shemdoe aomba ridhaa ubunge Jimbo la Lushoto

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe, amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Profesa Shemdoe amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Lushoto, Miriam Kaaya.

Screenshot 2025-07-01 160140.png
 
Hee kumbe Kuna msambaa ni professor
Au
Mkunda du munigegee nuksi
Niize mimitoe mateke
 
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe, amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Profesa Shemdoe amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Lushoto, Miriam Kaaya.

Kaaah hilo tumbo aisee!! Ifike mahali tubadilike!!
 
Wale wale angalia tu kitambi
AISEEE!
Mwonekano wake na hicho kitambi unatisha!
Angalia shati la kijani lilivyokataa kufunika viungo visivyokuwa pamoja!

Lakini hilo siyo neno, kama yupo vizuri kichwani, na tayari kuwatumikia waTanzania, hilo ndilo la muhimu.
 
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe, amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Profesa Shemdoe amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Lushoto, Miriam Kaaya.

..huyu ndio Jpm alimtukana na kumtumbua?
 
Halafu utashangaa darasa la saba B mmoja wa CCM anapata kura 556 na huyo Professa anaambulia kura 12.

CCM ina yenyewe.
Wapumbavu humchagua mpumbavu mwenzao. Hawa maprofesa wakati mwingine hujiapgusha wenyewe. Maelezo yao huwa hayaoani na hadhira . Mifano anatoa ya Ulaya, anatumia sentensi za kizungu nyingi, n.k
 
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe, amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Profesa Shemdoe amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Lushoto, Miriam Kaaya.

Duh jamani huko kwenye ubunge Kuna nn? Kina musukuma wanatudanganya hakuna Hela🤣🤣🤣
 
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe, amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Profesa Shemdoe amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Lushoto, Miriam Kaaya.

Afanye mazoezi kuondoa kiriba tumbo.
 
Duh apige tizi apunguze mtambi 😄 mgosi

Ova
 
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe, amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Profesa Shemdoe amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Lushoto, Miriam Kaaya.

Kila awamu yeye yumooo tu kuna Nosnia huko Ushoto....acha waparurane
 
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe, amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Profesa Shemdoe amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Lushoto, Miriam Kaaya.

Yaani huyu ndiyo anataka kugombea kuwa fuska (mbunge), amevutiwa na changudoa gani (mbunge wa kuteuliwa) ili akamle?
 
..huyu ndio Jpm alimtukana na kumtumbua?
Tangu atolewe chuo kikuu na kuingia kwenye uongozi na huyo JPM, hajawahi kutumbuliwa. Ameshawihi kuwa DED Mufindi, akaenda kuwa RAS Ruvuma, akaingia kwenye nafasi ya ukatibu mkuu Tamisemi, Wizara ya mifugo, nk.
 
Back
Top Bottom