Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanganyika mnapambana na Udocta wa kupewa huku Obama hakutaka kabisa kuItwa Dr
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Haya ndio Masharti ya hivi vyeo vyao vya kuteuliwa. Huyu hapa
9 Reactions
34 Replies
2K Views
Mpaka sasa wale wenye uraia wa kubumba, kuokoteza, na kupewa ndio wapo mstari wa mbele kabisa kutaka nchi iendelee na chaguzi za dhuluma zisizozingatia haki wakihofia uwepo wa uchaguzi wa haki...
19 Reactions
53 Replies
2K Views
TANU haijawahi kususia uchaguzi hata kama walikuwa wanajua kuwa wakoloni hawatawatendea haki kwenye chaguzi. Kushiriki mara nyingi kunasababisha yule anaeshiriki na kushindwa kugundua njia mpya za...
11 Reactions
187 Replies
6K Views
Mamia ya wananchi wa Kata za Nyakaliro na Irenza walijitokeza kwa wingiJulai 3, 2025, kushuhudia makala za utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Jimbo la Buchosa, chini ya uongozi wa Mbunge...
2 Reactions
6 Replies
443 Views
Ndugu wapendwa katika Kristo, Ni nani anayeweza kujidai kuwa na mamlaka ya pekee ya kuifahamu kweli yote ya Mungu? Ni nani anayeweza kudai kusikilizwa kwa sababu ya utakatifu wa nje, huku moyo...
0 Reactions
3 Replies
385 Views
Waislamu wa Mombasa wamemtaka Rais Ruto kujenga Msikiti wa kisasa Ikulu Source Citizen tv Ruto anajenga Kanisa lenye thamani ya tsh 28 billion kwenye Ikulu ya Kenya na kusema ni Alama ya nchi
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!! Sasa je Alie tia Nia...
17 Reactions
141 Replies
10K Views
Nilikuwa nafatilia online uzinduzi wa Hema jipya la Arise and Shine ya mwamposa pale Tanganyika peckers (KAWE) nimeona Siasa imezidi badala ya Kumuabudu Mungu. Kila mtu awe mtumishi au kiongozi...
0 Reactions
1 Replies
424 Views
Mchungaji wa kanisa Huduma ya Kristo lililopo mtaa wa FFU kata ya Murieti Jiji Arusha Steven Jacob mwenye umri wa mika 35 ametekwa na watu wasiojulikana asubuhi ya leo Tarehe 16 May 2025 wakati...
11 Reactions
60 Replies
6K Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, amesema jumla ya wanachama 4,109 wamechukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu ujao...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Something is wrong somewhere! Kwa muda wa miaka miwili na zaidi sasa takwimu zinazotolewa na Serikali na vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje ya nchi zinadai kuwa Tanzania tunaongoza...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Hakuan mtu nimemshusha vyeo kama gwajima kwa kitendo cha yeye kwenda kuchukua fomu ya ubunge hivi watanzania kweli tutatoka hapa Nakupa scenario mbili za matukio ya gwajima uone alivyokuwa mtu...
15 Reactions
61 Replies
4K Views
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG), Bw. Nyanda Shuli, amesisitiza umuhimu wa wananchi wa Tanzania kupewa elimu kuhusu rushwa na madhara yake, ili kuwawezesha kutumia...
1 Reactions
3 Replies
438 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasikitishwa anapoona haki za kidini zinapuuzwa na anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na akiwaalika...
6 Reactions
75 Replies
4K Views
John Heche ni hazina kubwa Sana na yupo mbele Sana ya Muda. Huyu ndo anafaa kuwa Rais.
18 Reactions
46 Replies
2K Views
Muda umefika sasa kwa wakazi wa Songea town kwenda na Eng. Fuko kwa maendeleo ya wa Songea town, tunaowamba wajumbe msifanye kosa hata kidogo siku ya kupiga kura
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Jumapili waumini wa Gwajima waliamua kuvamia kanisa la KKAM lililo jirani na Kanisa la Gwajima mita 200 kutoka lilipo kanisa la Gwajima lililofutwa Walijifanya kama waenda kusali Wakavamia na...
0 Reactions
1 Replies
368 Views
Katika nchi iliyokubali kuwa na vyama vingi vya siasa lakini katiba yake bado ni ya chama kimoja. Ili viongozi wao wawe bora ni lazima wapitishwe kwenye chuo cha Uongozi kilicho mkoa wa Pwani...
17 Reactions
15 Replies
737 Views
Back
Top Bottom