Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe ya Miaka 50 ya Uhuru wa Umoja wa Visiwa vya Comoro Julai 6, 2025 https://www.youtube.com/live/ARMJblFM7kg?si=RP84lkaqiIDNLqgC Sehemu ya Hotuba ya Rais Samia Rais...
0 Reactions
1 Replies
347 Views
Maisha muruwa, hakuna kulinda au kuzuia uchaguzi. Ukishapiga kura unaongojea kutangaziwa. Wapinzani unaweza ukajitolea hali na mali na ukapoteza kila chako siku ya siku anaujiuga ccm na kupata...
1 Reactions
3 Replies
312 Views
Je bunge linavikumbuka baadhi ya vifungu na impact zake mbeleni?
1 Reactions
0 Replies
230 Views
Yawezekana Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Majaliwa ataweka historia ya Kuwa waziri Mkuu wa muda mrefu wa JMT kuanzia mwaka 2015 hadi 2030. Kwa vyovyote vile Rais Samia Suluhu hatakubali kustaafu...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Simba na Yanga - hii inatumika kupumbaza Watanzania Taasisi za dini Kama Mwamposa , Shekh kishiki , n.k Bodaboda - hii inajulikana kazi yake ni kuua Viloba na Sungura - hii inajulikana Kazi...
1 Reactions
7 Replies
409 Views
Habari, Endapo uchaguzi mkuu utafanyika leo au hiyo 2025, hakuna Mtanzania (ukiondoa tabaka tawala) atampigia kura kiongozi ambaye amemletea tozo za hovyo za miamala ya simu kienyeji. Muamala...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Moja ya athari ya kumfunga Mbowe (iwapo watatimiza nia hio ovu), wajue tu ni kufanya viongozi wote wa CHADEMA waliobalki wasione ni hasara kwa wao kumfuata Mbowe magereza na zaidi itachochea...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Huu ni ushauri ambao naupeleka kwa Mamlaka ya Uteuzi Kimsingi Tamisemi ndio Wizara ya Mahusiano kwa umma, Ndio Daraja la Amani ya Nchi, Wizara hii inataka mtu mwerevu, kifua kipana siyo kigezo...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
CHAUMMA walitangaza kuanza operation C4C wakiruka na Chopa. Hatimaye wakaizindua pale Mwanza na mara ya mwisho nimewasikia wakiwa Mara. Je hizo operation zinaendelea au wamerudi kwenye drawing...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
[emoji625]03/08/2023. JIMBONI. Mhe. Dorothy George Kilave Mbunge wa Jimbo la Temeke, amekutana na kuzungumza na Viongozi wa Vyama Vya Siasa Temeke. Kikao cha Kuwasilisha Taarifa ya Maendeleo na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa muonekano wake tu huyu jamaa umri wake umeenda namba. Huenda ana umri mkubwa kuliko Majaliwa na Mpango. Jinonee wewe utoe tathimini yako.
24 Reactions
63 Replies
4K Views
### Je, Elimu Inaweza Kuwa Udhibiti wa Watu? Mifano kutoka kwa Nadharia za Njama Katika dunia ya leo, mjadala kuhusu ushawishi wa elimu katika jamii umekuwa wa kupigiwa kelele. Wakati wengine...
0 Reactions
2 Replies
385 Views
Nashangaa sana huyu katibu wa itikadi na uenezi wa CCM anahangaika kila kukicha. Yeye binafsi anasema Chadema haina muelekeo na haitashiriki uchaguzi. Lakini kila kukicha CHADEMA na viongozi...
12 Reactions
17 Replies
803 Views
Wananchi wa kata ya Terati Arusha wamefunga barabara kwa ajili ya kumkataa Mgombea Udiwani ambaye ameteuliwa na kamati ya Kata CCM.
1 Reactions
3 Replies
641 Views
Picha ya kwanza: Kiwanda cha Tanganyika Packers kilijengwa Kawe, Dar es Salaam mwaka 1949, na ujenzi wake uliashiria ujio wa viwanda vya kusindika nyama kibiashara nchini. Nyama ya ng’ombe...
4 Reactions
13 Replies
704 Views
Viongozi wa dini wenye akili timamu kama TEC wameweka wazi MSIMAMO wao na tunaujua. Hatuwezi kuwa na nchi ambayo watu ambao wanapaswa kuwa independent entities kumbe ni MAKADA; DG anaesimamia...
29 Reactions
51 Replies
3K Views
Rais Samia amesema Kiswahili kina uwezo wa kuwaunganisha Waafrika na kupendekeza kitumike kama lugha ya mawasiliano, elimu na biashara katika nchi za Afrika, ikiwemo Comoro. "Lugha pekee ya...
0 Reactions
5 Replies
507 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni majonzi , masikitiko na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wote wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius...
3 Reactions
91 Replies
4K Views
Hiki kitu nimekuwa nikijiuliza sana Masheikh wengi wamekuwa wakitete Amani badala ya haki,huku ukiangalia kwa maksudi serikali na chama tawala haitaki kukubali kubadili baadhi ya vifungu vya...
1 Reactions
10 Replies
526 Views
DAR: Jeshi la polisi limendelea kuimarisha hali ya ulinzi maeneo ya Ubungo, Kibo Dar es Salaam eneo lilipo Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) wakati huu ibada ikiendelea. Polisi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…