Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Thamani ya uhai katika nchi yetu inapotea. Matendo ya utekaji wa watu kama vile kina Mdude, Kina Soka, Kina Sativa na watu wengine inawafanya watu kama watendaji wa Vijiji kuona kwamba wanaweza...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Nabii Mkuu wa Makanisa ya Ngurumo ya Upako (N.Y.U), Dkt. Moses Kasambale Geordavie, ametoa wito kwa Watanzania kuhakikisha wanatumia haki yao ya kikatiba kwa kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Rais wa Umoja wa Mitume na Manabii Tanzania, Nabii Dkt. Joshua Aram Mwantyala, amesema Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa ya ajabu, kiasi cha kumfananisha na mtu aliyepewa msaada wa...
3 Reactions
20 Replies
809 Views
Act bana Eti tuta Linda kura video kumbukumbu ya 2020 No reforms no elections
1 Reactions
18 Replies
853 Views
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Dar es Salaam, Sheikh Mohamed Mawinda, leo Julai 5, 2025 amehutubia mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa hema jipya la Askofu Mwamposa...
0 Reactions
1 Replies
432 Views
Mzee Kikwete amesema kuongoza Watu million 61 ni kazi Ngumu sana yeye amewahi kuwa Kiongozi hivyo anajua Wakati anastaafu Urais wake 2030 Rais Samia ataliacha taifa lenye Watu takribani million...
0 Reactions
8 Replies
407 Views
Burkina Faso imefuta leseni za mashirika manne ya misaada ya kiutu ya kigeni kuendesha shughuli zao nchini humo, na kusimamisha mashirika mengine mawili.Kwa mujibu wa amri ya serikali, iliyotiwa...
0 Reactions
3 Replies
436 Views
Wakuu, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo nchini Tanzania CCT, Askofu Dkt. Fredrick Shoo amesema kuwa baadhi ya watu kwa sababu zao binafsi wamekuwa wakidai kuwa msaada wa Rais, Dkt. Samia ni...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amewakosoa vikali watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa vyama vya upinzani kwa kutoa kauli za kejeli dhidi ya baadhi ya wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani...
1 Reactions
4 Replies
428 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini mwaka 2020/25, Deo Mwanyika (CCM) leo Julai 01, 2025 amechukua Fomu ya kuwania Ubunge awamu ya pili katika Jimbo la Njombe Mjini. Mwanyika amechukua...
2 Reactions
5 Replies
557 Views
Tanzania nchi yangu. Nimekuwa kwako toka nimezaliwa mpaka Sasa Nina wajukuu. Mengi nimejionea na kila uchaguzi mengi nayaona. Mazuri yapo na mabaya pia Ila siku zote tumeweza kuvumiliana bila...
0 Reactions
1 Replies
236 Views
Amos Makala katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema kwa waliochukua fomu za kugombea Ubunge na Udiwani kuchujwa kuanzia tarehe 4 Julai,2025
1 Reactions
2 Replies
606 Views
Askofu mkuu wa Kanisa la Calvary Dr Maboya amesema katika Watu 12 unawaongoza mmoja atakuwa Msaliti, Wakiwa Watu 24 Yuda Iskarioti 2 wakiwepo Watu 495 Yuda Iskarioti 48 nk. Nk Hivyo Askofu Maboya...
1 Reactions
9 Replies
581 Views
Kama tutaendelea na tabia hizi hizi tutatawaliwa na madikteta, je tumekwisha fika huko?
0 Reactions
4 Replies
298 Views
Rais Samia Suluhu Hassan leo Dar es Salaam, Julai 5, 2025 amezindua hema jipya la ibada la Askofu Mwamposa (Arise and Shine) na kusisitiza kuwa dini zina jukumu la kuwakumbusha wananchi kutunza...
0 Reactions
11 Replies
636 Views
Watia nia wa nafasi za ubunge na udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)mkoa wa Simiyu huenda wakakosa kurejeshewa majina yao kwenye mchakato wa kuteuliwa, kufuatia tuhuma za matumizi ya fedha...
0 Reactions
1 Replies
645 Views
Kushindwa kumuelewa MTU na kukosa maono . Kwa nature ya Magufuli., he was not a good politicians . Kwahiyo mambo ya ndio na hapana even criticism ,those things need high level of emotional...
17 Reactions
107 Replies
3K Views
Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa akizunguza Clouds TV "CCM na Mwenyekiti wao chini ya uongozi wa Dkt Samia Suluhu Hassan hatusikii sana masuala yenye kuhusiana na kashfa na hatusikii...
2 Reactions
25 Replies
827 Views
Wakuu! Kuna hii video ya Mbunge wa Muleba Kusini anayedaiwa kugawa fedha kwa wananchi. Baada ya miaka mitano, leo Mbunge huyo, Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, amerudi jimboni na anawagawia wananchi...
1 Reactions
11 Replies
929 Views
Tanganyika mnapambana na Udocta wa kupewa huku Obama hakutaka kabisa kuItwa Dr
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Back
Top Bottom