M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 9,397 Reaction score 14,596 Jul 4, 2025 #1 Maisha muruwa, hakuna kulinda au kuzuia uchaguzi. Ukishapiga kura unaongojea kutangaziwa. Wapinzani unaweza ukajitolea hali na mali na ukapoteza kila chako siku ya siku anaujiuga ccm na kupata cheo wewe ukiuguza majeraha
Maisha muruwa, hakuna kulinda au kuzuia uchaguzi. Ukishapiga kura unaongojea kutangaziwa. Wapinzani unaweza ukajitolea hali na mali na ukapoteza kila chako siku ya siku anaujiuga ccm na kupata cheo wewe ukiuguza majeraha
U ubarinolutu JF-Expert Member Joined Oct 22, 2012 Posts 2,827 Reaction score 5,966 Jul 4, 2025 #2 Nyie CCM matupa sana stress Kwa tabia zenu za wizi, ni Bora museme tu wazi sisi tunaamua kuwa madictor, sio mnahadaaa umma.
Nyie CCM matupa sana stress Kwa tabia zenu za wizi, ni Bora museme tu wazi sisi tunaamua kuwa madictor, sio mnahadaaa umma.
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,630 Reaction score 55,823 Jul 4, 2025 #3 Malaria 2 said: Maisha muruwa, hakuna kulinda au kuzuia uchaguzi. Ukishapiga kura unaongojea kutangaziwa. Wapinzani unaweza ukajitolea hali na mali na ukapoteza kila chako siku ya siku anaujiuga ccm na kupata cheo wewe ukiuguza majeraha Click to expand... No honor among thieves
Malaria 2 said: Maisha muruwa, hakuna kulinda au kuzuia uchaguzi. Ukishapiga kura unaongojea kutangaziwa. Wapinzani unaweza ukajitolea hali na mali na ukapoteza kila chako siku ya siku anaujiuga ccm na kupata cheo wewe ukiuguza majeraha Click to expand... No honor among thieves