Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,978
- 285,475
Huu ni ushauri ambao naupeleka kwa Mamlaka ya Uteuzi
Kimsingi Tamisemi ndio Wizara ya Mahusiano kwa umma, Ndio Daraja la Amani ya Nchi, Wizara hii inataka mtu mwerevu, kifua kipana siyo kigezo cha kuwa Waziri wa TAMISEMI
Ushahidi wa uwezo duni wa Mchengerwa uko wazi mno na wala haihitaji tochi ya kichina kuuona.
Natambua kwamba Mchengerwa ni Mkwe wa Rais, ambaye ndiye Mamlaka ya Uteuzi, basi ikiwa ni lazima Mkwe wa Rais awe Waziri ni vema akatafutiwa Wizara nyingine, hata wizara ya fedha au hata aundiwe wizara mpya iwe ya kwake tu, lakini isiwe Tamisemi, Huyu akiendelea kuwa Tamisemi atakuja kuiingiza hii Nchi kwenye Historia isiyofutika milele.