Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,230
- 6,471
Yawezekana Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Majaliwa ataweka historia ya Kuwa waziri Mkuu wa muda mrefu wa JMT kuanzia mwaka 2015 hadi 2030.
Kwa vyovyote vile Rais Samia Suluhu hatakubali kustaafu Urais mwaka 2025. Hata akitaka kustaafu wapambe wake watamshauri aendeleze bahati ya ngekewa oliyomuangukia hadi 2030.
Rais Samia Suluhu pia ikumbukwe hana kinyongo Cha kuwabadilisha watendaji wake mbalimbali serikalini. Hii imedhirishwa na Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu waziri na Manaibu Makatibu kubaki walewale.
Hapa Sasa ndipo panapokuja uhakika wa Majaliwa kubaki Waziri Mkuu wa muda mrefu ktk Historia ya JMT. Ni maono na mtazamo wangu.