Hata ipite miaka 10 lazima wahusika wawajibike

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,170
Reaction score
60,528
Wameanza kujidanganya na wanamdanganya kuwa hili litapita kama mengine yalivyopita, wana buy time ili jamii isahau, wanasema tugange yajayo.

Nawaambia kuwa wasipowajibika wao tutahakikisha watoto wao au wajukuu zao wanaowarithisha uongozi wanawajibika.

Matendo yao yako documented, tutatunza lisiti kama kumbukumbu na tutampa kiongozi mzalendo tutakayempata azifanyie kazi hata kama itapita miaka 20, ogopa Mungu na Teknolojia.

Huwezi kuua ndugu zetu wasio na hatia wamelala chumbani halafu useme business as usual. Never.
 
Kwa hyo wewe utakuwepo na nguvu zako na nyodo zako hv hv wakati wa enzi za wajukuu wao?
Bangi ni mbaya
 
Upo sahihi. Hata sadam Hussein ushetani aliufanya kuanzia 1980s to 90s. 2003 alikuacaptured na 2006 kula kitanzi
 
Kwa hyo wewe utakuwepo na nguvu zako na nyodo zako hv hv wakati wa enzi za wajukuu wao?
Bangi ni mbaya
Hata nisipokuwepo Ila jinai huwa haifi na laana huenda hadi vizazi vinne in short hadi vitukuu wa Samia watalipa damu alizomwaga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom