PreGE2025 Makalla (CCM): Mzee Wasira hajakata moto, hana jambo lolote ni ratiba tu ya mapumziko

PreGE2025 Makalla (CCM): Mzee Wasira hajakata moto, hana jambo lolote ni ratiba tu ya mapumziko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,912
Reaction score
16,522
Katibu Mwenezi, itikadi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amejibu kuhusu ukimya wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Masato Wasira.
 
Kama Wasira angekuwa Ana familia imara wangemshauri kukataa huo uteuzi wa kuwa Makamu Mwenyeketi.

Endapo wanapenda kumuona Baba yao akiendelea Ku-exist.
Wasira na watoto wengi tu. Mtoto wake mkubwa anaitwa Kambarage ni mtia nia wa jimbo la Bunda kwa tiketi ya CCM. Anafahamika kama Mmarekani kwa vile kaishi USA
 
Hata mwendazake tulidanganywa hivi hivi!
Kama anaumwa waseme tu, mbona ni jambo la kawaida hilo kama binadamu na ukizingatia na umri wake mkubwa. Wasimpangie ratiba kama kijana. Wampangie ratiba kwa kuzingatia umri wake.
 
Makalla nadhani kichwani sio mzima.
Mtu mzima akiwa mapumziko huwa anajificha halafu wapambe wanakuja kumsemea?
Alipaswa yeye mwenyewe Wasira aje aseme jamani eeeeh, mziki ni mzito nimeona niweke break ili kuvuta pumzi upya maana mtiti wa kupambana ma No reform ni balaa.
 
Hivi hiki ni kipindi cha kupumzika kwa wassira aliyepewa kusukuma ajenda za ccm kuelekea uchaguzi mkuu hapo oktoba? Hakuna kupumzika muda ni mfupi soon kampeni zitaanza. Hapa ukweli unafichwa mzee huenda hali yake kiafya si nzuri
 
Back
Top Bottom