Huu wakati ndani ya Chama cha Mapinduzi tunaweza kusema ni muda wa lala salama au muda wa majeruhi na hii inapelekea wananchi wote pamoja na wanaCCM kusubiri ni nani jina lake litarudi na hii...
Kyela ndio mwanzo wa nchi yetu kutokea Malawi na ndio mwisho wa Nchi hii ukitokea Dar es Salaam , unapotokea Malawi bendera ya kwanza ya chama cha siasa unayoiona unapovuka boda tu ni bendera ya...
Unapodharau mradi wa REA umedharau hadhi yetu, utu wetu, ubinadamu wetu unataka wanaonufaika na umeme huo waone kawaida wewe Tundu Lisu tutakuadhibu tar 28/10/2020 kwenye sanduku la kura "Tuachie...
Hii ni kwa sababu kwa miaka mingi sana jimbo la Kyela limekosa mbunge ambaye ni Mkazi halisi wa Kyela , kwa zaidi ya miaka 15 Kyela imekuwa na mbunge mpita njia, Mwakyembe alikuja Kyela kuomba...
Nani atasimama jukwaani, azungumze na akubalike kwa watanzania ili kumsaidia John kujibu hoja za mbeba maono? John hawezi kupangiilia hoja akaielezea na ikaeleweka. Anahitaji wasemaji wazuri...
Kuna Mambo yanaumiza Sana hasa unapoona kijana au mzee akipinga wazi wazi upinzani usishinde uchaguzi. Ni haki yao, lakini hebu fikiria, ukiondoa utawala wa awamu ya kwanza na wa pili, CCM...
Ningewashangaa kweli kweli wale ambao walipewa Dhamana ya Kumchagua na Kumpitisha Mrithi wa Rais wa Zanzibar Dkt. Shein kama wangefanya Kosa kubwa na la Kiufundi kabisa la Kutomchagua Mtu ambaye...
Published on Aug 17, 2020
Kuelekea Uchaguzi mkuu 2020 Chama cha Mapinduzi kimezindua kituo maalum cha mawasiliano lengo kuu likiwa ni kuhakikisha wanakuwa na mawasiliano ya karibu na wanachama na...
Kamanda Lissu; nakushauri,pamoja na mambo mengine, usisahau kuongelea mambo hayo matatu yanayogusa na kuumiza wananchi wengi wa nchi kama ulivyozungumzia suala la TRA na wafanyabiashara pamoja na...
Hapo vipi!
Ni kwa muda mrefu Arusha imezorota kimaendeleo,mpaka vimikoa vidogo vinakua kasi ukilinganisha na Arusha yenye fursa nyingi za kiuchumi.
WanaArusha nyie ni mashaidi juu ya kupwaya na...
Hii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.
Kusanyiko lolote la umati wakati wa kutafuta wadhamini...
Jaji mkuu Profesa Ibrahim Juma amesema ni marufuku kwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jaji wa Mahakama Kuu, Msajili wa Mahakama na Mahakimu kujiunga na Chama cha Siasa.
Profesa Ibrahim Juma amesema...
CHADEMA wamekuwa wakijitahidi Sana kufanya matukio ya kuvunja Sheria ili vyombo vya dola vichukue hatua na wawekwe ndani I'll wapigiwe kura za kuhurumiwa na wananchi. Huu Ni utamaduni mpya ambao...
Bila kupoteza muda
1. Lowassa alikuwa delusional, nikimaanisha alikuwa anaamini atachukua nchi asubuhi na mapema hii ni kwa sababu alikuwa na "marafiki" kila sehemu.
Lissu yeye kwa maneno yake...
Miaka yote Chadema imekuwa ikijijenga kwenye miji michache mno Tanzania
Ilichagua vimiji vichache tu kwa mikoa michache tu ya Tanzania na kujijenga na kuacha miji mingine ya mikoa.
Ukienda...
Nakitazama hali ilivyo ngumu mtaani, uchumi umekua mgumu kuna mama wanashinda barabarani na nyanya zao na mchicha kutwa nzima hawauzi wanarudisha nyumbani jioni, frame kibao za biashara zimefungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.