Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,369
- 217,430
Kyela ndio mwanzo wa nchi yetu kutokea Malawi na ndio mwisho wa Nchi hii ukitokea Dar es Salaam , unapotokea Malawi bendera ya kwanza ya chama cha siasa unayoiona unapovuka boda tu ni bendera ya Chadema , hii ndio bendera ya mwisho ya chama unayoweza kuiona pale boda kabla hujavuka kwenda Malawi .
Kwa wasifu huu mzito natoa wito kwa viongozi wa CHADEMA kanda ya Nyasa akiwemo Mchungaji Msigwa kuhakikisha kwamba ratiba ya "Mfufuka" Lissu inajumuisha jimbo la Kyela , kuna wadhamini wasio na idadi wanamsubiri .
Mungu ibariki Chadema