Uchaguzi 2020 Niliwashangaa sana waliokuwa Wakimkataa na hadi Kumchukia Chaguo la Mungu na la Wazanzibari Dkt. Hussein Mwinyi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,875
Ningewashangaa kweli kweli wale ambao walipewa Dhamana ya Kumchagua na Kumpitisha Mrithi wa Rais wa Zanzibar Dkt. Shein kama wangefanya Kosa kubwa na la Kiufundi kabisa la Kutomchagua Mtu ambaye GENTAMYCINE nadhani si tu kwamba anafaa kuwa Rais wa huko Kisiwani Zanzibar bali naona kabisa kuwa anafaa hata kuja kuwa Mrithi wa Rais Dkt. Magufuli mwaka 2025.

Nina uhakika hata akina Seif Shariff wa ACT na Dkt. Hamad Rashid wa ADC nao pia sasa wanajua kuwa Kazi Pevu tu wanayo hapo kwa Mwinyi.
 
Husilazimishe watu kuamini kuwa mwnyi ni chaguo la Mungu. Hata kama ni chaguo la Mungu, kwa kuchaguliwa kuliko fanyika hakuwa chaguo la Mungu bali chaguo la watanzana bara.
 
Ningewashangaa kweli kweli wale ambao walipewa Dhamana ya Kumchagua na Kumpitisha Mrithi wa Rais wa Zanzibar Dkt. Shein kama wangefanya Kosa kubwa na la Kiufundi kabisa la Kutomchagua Mtu ambaye GENTAMYCINE nadhani si tu kwamba anafaa kuwa Rais wa huko Kisiwani Zanzibar bali naona kabisa kuwa anafaa hata kuja kuwa Mrithi wa Rais Dkt. Magufuli mwaka 2025.

Nina uhakika hata akina Seif Shariff wa ACT na Dkt. Hamad Rashid wa ADC nao pia sasa wanajua kuwa Kazi Pevu tu wanayo hapo kwa Mwinyi.

Kule kwa mzikulu tu ndio wamemchania mkeka, ila huku naona mkeka unaenda vizuri.
 
Kuandika ni kama kuongea tu hata ujifiche vipi utajulikana tu vipi ile Id yako nyingine nayo inapingana na hili
 
Huyo dogo hajui alichokiandika. Uwezo wake wa kung'amua mambo ni mdogo sana.

Ungekuwa na Akili ungepoteza hivi muda wako na Mimi ambaye unaniona na umeshasema kuwa sina Akili? Sasa hapa hujioni kuwa Wewe ni Juha?
 
Kuandika ni kama kuongea tu hata ujifiche vipi utajulikana tu vipi ile Id yako nyingine nayo inapingana na hili

Sijawahi kuwa na ID tofauti na hii Brand ID ya GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE hapa JamiiForums tafadhali. Na sijaona pia sababu ya kuwa hivyo.
 
Ningewashangaa kweli kweli wale ambao walipewa Dhamana ya Kumchagua na Kumpitisha Mrithi wa Rais wa Zanzibar Dkt. Shein kama wangefanya Kosa kubwa na la Kiufundi kabisa la Kutomchagua Mtu ambaye GENTAMYCINE nadhani si tu kwamba anafaa kuwa Rais wa huko Kisiwani Zanzibar bali naona kabisa kuwa anafaa hata kuja kuwa Mrithi wa Rais Dkt. Magufuli mwaka 2025.

Nina uhakika hata akina Seif Shariff wa ACT na Dkt. Hamad Rashid wa ADC nao pia sasa wanajua kuwa Kazi Pevu tu wanayo hapo kwa Mwinyi.

Mzukulu mbona kigeugeu?
 
Unajionaga bonge la janjaro.kumbe boya.matusi ili?

Naona Sindano yangu yenye Dozi Kali tayari imeshaanza Kuwaingia. Poleni sana na ivumilieni tu kwani ndiyo Dawa yenu nzuri na ya Kuwatibieni.
 
Back
Top Bottom